Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
- Thread starter
-
- #21
Asante Sana dear.mambo yanachanganya Sana hayaHawa ni wataalamu wamebobea kwa afya ya watoto na huu ndiyo ushauri wao, wanatoa na sababu za kisayansi! Ni kimalkia rahisi sana kama unapenda kujifunza!
Why Do Infants Need Baby Formula Instead of Cow's Milk?
Many parents ask why they can't just feed their baby regular cow's milk. The answer is simple: Young infants cannot digest cow's milk as completely or easily as they digest formula.www.healthychildren.org
Asante mkuu .hata kama ameshatoboa mwaka au miwili na kuendelea?Usimpe maziwa ya ng'ombe mara kwa mara yana gesi nyingi itamsumbua tu mtoto
Watu wengine hata usihangaike kuwajibu. Mtu hajawahi lea hata paka anajiropokea tu.Mtoto WA 1-3 yrs wanawake wachache Sana Wana bahati ya kunyonyesha muda wote.ila kwa sababu mna mihemko na kulea hamjui ndo maana mnaleta ujuaji hapa
Ningeuliza kwa mtoto WA siku 0 Hadi miezi sita Hadi mwaka ungeweza kuniripokea na Hilo swali.ila kwa sababu uzoefu huna ndo maana unashoboka.
Ndio kama utamfululizia kumpa kila siku hata akiwa na miaka 3 bado t gesi itamsumbua na pia usipende kununua ayo maziwa sehem tofaut tofaut nunua sehem 1 tuAsante mkuu .hata kama ameshatoboa mwaka au miwili na kuendelea?
Mkuu maziwa ya Mama pekee hayatoshi kwa mtoto wa kuanzia mwaka 1 na kuendeleaWewe hauna maziwa ya kumnyonyesha?
Atajulia wapi hajawai kulea hata mbu kazi kutukana wanawake tuMkuu maziwa ya Mama pekee hayatoshi kwa mtoto wa kuanzia mwaka 1 na kuendelea
Kweli yaaniWatu wengine hata usihangaike kuwajibu. Mtu hajawahi lea hata paka anajiropokea tu.
Kweli mjini maziwa mazuri shida sanaBinafsi maziwa ya ng'ombe huwa natumia katika kupikia chakula Cha mtoto kitakachohitaji maziwa. Namnyonyesha ya kwangu mpaka miaka miwili nikiachisha ndio naanza kumpa ya ng'ombe na sio Kila siku, na Bahati mbaya au nzuri wanangu wote wameyakataa maziwa ya ng'ombe hawayapendi.
Niliamua kufanya hivyo kutokana kupata maziwa ya ng'ombe mazuri ni changamoto kuyapata mengi wameyachakachua sana..
Mtoto wa miaka 3 naye ananyonyeshwa? Soma uzi vizuri.Maziwa ya mama ni bora kuliko ya ng'ombe na ya kopo. Tatizo mnaogopa matiti kulala, yatalala tu. Hata bibi alikuwa mwali chuchu saa sita
Kwa ninavyofahamu mtoto mdogo hawezi ku digest maziwa ya ng'ombe, ni Either uyachujue sana na Maji ama usimpe, watoto wengi wanaharisha na kupata matatizo sababu ya maziwa ya Ng'ombe, anaweza pia kupata matatizo ya Figo.Naombeni kuuliza wataalamu huku kwa mtoto wenye mwaka hadi mitatu. Maziwa yapi bora kwake, ya formula mfano lactogen, sma, infacare, s26 etc au ya ng'ombe?
Yapi yana nguvu?
Acha uvivu nyonyeshq mtoto wewe single mother... sijui kwani mnawazaa halafu mnakuja kuwatesa bila sababu na mikemiko kemiko hiyo. Hakuna ubize wa kukosa muda wa kunyonyesha mtoto kama una hela [kama unavyojionesha], weka house girl weka dereva, muda wa kunyonya mtoto aletwe ulipo anyonye... MbarambafuMtoto WA 1-3 yrs wanawake wachache Sana Wana bahati ya kunyonyesha muda wote.ila kwa sababu mna mihemko na kulea hamjui ndo maana mnaleta ujuaji hapa
Ningeuliza kwa mtoto WA siku 0 Hadi miezi sita Hadi mwaka ungeweza kuniripokea na Hilo swali.ila kwa sababu uzoefu huna ndo maana unashoboka.
Hujawai lea hata mbu hapo ndani kwako utatueleza.nini wewe kiazi. Ticha ujinga wako maana ni mwingiAcha uvivu nyonyeshq mtoto wewe single mother... sijui kwani mnawazaa halafu mnakuja kuwatesa bila sababu na mikemiko kemiko hiyo. Hakuna ubize wa kukosa muda wa kunyonyesha mtoto kama una hela [kama unavyojionesha], weka house girl weka dereva, muda wa kunyonya mtoto aletwe ulipo anyonye... Mbarambafu
...Ni hayo Tu!!!
Shukrani mkuuKwa ninavyofahamu mtoto mdogo hawezi ku digest maziwa ya ng'ombe, ni Either uyachujue sana na Maji ama usimpe, watoto wengi wanaharisha na kupata matatizo sababu ya maziwa ya Ng'ombe, anaweza pia kupata matatizo ya Figo.
So kwa mwaka mmoja maziwa ya mama ama formula ni bora zaidi, issue kibongo bongo kuwa makini sana na hizi formula, sio zote ni OG hukawii kuuziwa feki.
Akifika miaka kuanzia mwaka 1-2 hapa anaanza ku digest hayo ya ng'ombe ila still mengine mazito mchanganyie na Maji, kuanzia miaka 2 ya Ng'ombe sawa.
Kuhusu virutubisho Formula yana virutubisho zaidi, mfano Maziwa ya Ng'ombe hayana Vitamin C, mtoto anaihitaji hio, kwenye formula ipo.
Tulia uandike vizuri Madam.. Mimi sio ticha, mi ni mfanyabiashara.. U widened ur thighs for "inn" by ur own self, si hatukuwepo. Na ulipenda ile nyimbo, "mtoto kautaa.....Hujawai lea hata mbu hapo ndani kwako utatueleza.nini wewe kiazi. Ticha ujinga wako maana ni mwingi
Umesoma.nilichoandika dogo? Vitu vingine hata wewe unajifunza usikurupuke kujibu my dear haitokupunguzia heshima yako.mtoto WA miaka mitatu ukanyonyesha mara ngapi kwa siku tuanzie hapo na anaitaji maziwa kiasi gani mwilini?Tulia uandike vizuri Madam.. Mimi sio ticha, mi ni mfanyabiashara.. U widened ur thighs for "inn" by ur own self, si hatukuwepo. Na ulipenda ile nyimbo, "mtoto kautaa.....
so relax nyonyesha mtotoππππ
...Ni hayo tu!!!
Normal Challenges, Relax na Karibu Lunch..Umesoma.nilichoandika dogo? Vitu vingine hata wewe unajifunza usikurupuke kujibu my dear haitokupunguzia heshima yako.mtoto WA miaka mitatu ukanyonyesha mara ngapi kwa siku tuanzie hapo na anaitaji maziwa kiasi gani mwilini?
Heri ya mwaka mpya ndugu .asante nimeshiba sanaNormal Challenges, Relax na Karibu Lunch..
ππππ‘π₯π»πΊπ₯πΉπΈπ·
Mkuu maziwa ya Mama pekee hayatoshi kwa mtoto wa kuanzia mwaka 1 na kuendelea