Mazoea

Mazoea

Globu

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
9,414
Reaction score
3,043
Baba mmoja alikuwa na mazoea ya kulala uchi. Siku moja wakati anajiandaa kulala akavua nguo, mara mtoto kaingia chumbani bila hodi. Baba akaona hii noma, ikabidi aufiche u b o o katikati ya mapaja huku akikimbilia kitandani. Kumbe u b o o umetokeza unaonekana kwa nyuma, mtoto akapiga kelele 'mamaa, mamaa, baba anapanda na mavi kitandani'
 
hv kwa nn jf baada ya shule kufungwa 2 inajaa mitusi mitusi tuuu! mode fanya kazi yako
 
Back
Top Bottom