Mazoezi makali ya wanajeshi Tabora kuna nini?

Kama hawakutoa tahadhari,basi jeshi letu linapelea pahala
Hapana. Wakati mwingine inakuwa ni kwa sababu za kiusalama kwani wapo "wahuni" au "adui" akaitumia hiyo taarifa kama fursa kufanya yake.
 
Ni mazoezi ya kawaida ,kuna kozi ya uongozi inaendelea hapo.
Nasikia mazoezi ni makali kinoma
 
Litokee jambo basi turudi Factory setting Ili WATEKAJI tuheshimiane
 
Ni kawaida tumwaka 1992 nikiwa hapo Tabora niliona wakifanya hayo mavituz
 
Mazoezi ya kizamani sana, kwa sasa Vita imehamua kwenye Techinolojia na sio waty tena.

Vita au ulinzi wa nchi haumuliwu na idadi ya Wanajeshi bali Techinolonia yabkisasa ya ulinzi.
 
Kuna rafiki yangu mjeda kanipenyezea kuwa wamemuchoka mama.wanafanya kwanza mazoezi baadae wafanye kweli.kaniambia iwe Siri na wewe msomaji usimpenyezee mwingine fullstop
 
Huenda kwa sasa ikawa sio ,ila kwa kipindi hicho iliitwa RTS Kalunde
Kalunde haijawahi kuwa rts labda mafinga,makutupora na kunduchi ndio ziliwahi kuwa ila sio kalunde.
Labda kama hujui maana ya rts
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…