Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
December na January wana sherehe zao kitaifa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hawakutoa tahadhari,basi jeshi letu linapelea pahalaWanajeshi lazima wajiweke Tayari wakati wote. Sema tu labda hawakutoa tahadhari na kinachoendelea.
Hapana. Wakati mwingine inakuwa ni kwa sababu za kiusalama kwani wapo "wahuni" au "adui" akaitumia hiyo taarifa kama fursa kufanya yake.Kama hawakutoa tahadhari,basi jeshi letu linapelea pahala
Huenda kwa sasa ikawa sio ,ila kwa kipindi hicho iliitwa RTS KalundeKalunde sio rts wewe na haijawahi kuwa rts.
Rts kwa sasa ni mbili tu Tanzania
Ni kawaida tumwaka 1992 nikiwa hapo Tabora niliona wakifanya hayo mavituzKwa wiki nzima hii nimekuwa nikiona vikosi vya jeshi wakitembea mtaani hapa Tabora, wakiwa wameshika bunduki, wakitembea kwa mstari, ukipita maeneo ya kule Ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wao ndio wamezagaa mule ndani na ndio wanaofungua na kufunga mageti.
MIsururu ya magari yao inakatiza, hii inatisha watu tena wakati wa misululu hiyo juu kunakuwa na Escot ya Helkopta wenye kujua nini kinaendelea watujuze maana inatisha walahi
Kwenu wanajamvi..
KWambaTulia dawa ikukolee
NimeelewaSherehe za uhuru zinakaribia
Mazoezi ya kizamani sana, kwa sasa Vita imehamua kwenye Techinolojia na sio waty tena.Kwa wiki nzima hii nimekuwa nikiona vikosi vya jeshi wakitembea mtaani hapa Tabora, wakiwa wameshika bunduki, wakitembea kwa mstari, ukipita maeneo ya kule Ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wao ndio wamezagaa mule ndani na ndio wanaofungua na kufunga mageti.
MIsururu ya magari yao inakatiza, hii inatisha watu tena wakati wa misululu hiyo juu kunakuwa na Escot ya Helkopta wenye kujua nini kinaendelea watujuze maana inatisha walahi
Kwenu wanajamvi..
MKihangaiko na Monduli
Monduli sio rtsKihangaiko na Monduli
Kalunde haijawahi kuwa rts labda mafinga,makutupora na kunduchi ndio ziliwahi kuwa ila sio kalunde.Huenda kwa sasa ikawa sio ,ila kwa kipindi hicho iliitwa RTS Kalunde