Yaani ukipasha sana unatengeneza mpaka figa yenye mvuto
kwani anasimamia mbavu? au mgumu kama kina siye wa kanda ile.........!Aaah ukimgeuza upande wa pili anasema mbavu zinauma yeye kifo cha mende tuuuuuuuuuuuu
wanaoshinda kutwa nzima wanazunguka na viti oficn wana mazoezi gani? na akifika home hata fagio hagusi house maid yupo!Shughuli za mwanamke kwa kutwa nzima ni mazoezi tosha,ukiongeza na mazoezi ya chakula cha usiku sidhani kama kuna umuhimu sana wa kufanya mazoezi.
Mapenzi ni kujituma sio unalala kama gogo
si ndio ninayoyaona humu oficin, ngoja nianze zoezi nsijekimbiwaHahahaha na wewe sasa unaua au ndo hawa akiguswa mbavu zinauma akifanya hivi ndo hivyo tena?