Mazoezi muhimu kwa mpenzi wako

Mazoezi muhimu kwa mpenzi wako

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Posts
21,947
Reaction score
4,470

Shosti mazoezi ni muhimu sana kwa afya yako.

Shosti mazoezi ni muhimu kuweka akili ikae sawa

Shosti ukipasha misuli hata mwenzio wala humsumbui

Shosti ukiwa fit una mpa raha mwenzako utagalauka kote kote.

Shostito mapenzi bila mazoezi ni sawa na bia bila chakula

Shostito utawezaje kumpeleka mwenzio puta bila kufanya mazoezi?

Shostito mazoezi yanasaidia kupunguza vitambi vya pombe
 
Yaani ukipasha sana unatengeneza mpaka figa yenye mvuto
 
hahahaha hommie bana, Baaelezeee bana hao....
vimbita sooo bana!
 
hapo kwenye red misuli itatoka sana halafu ndo kuanza kukimbiwa eti huyu demu kakomaa kama bondia

Unapasha kimtindo sio unapasha kama unataka kuwa baunsa wa kwenye disco
 
ulikuta na ambaye hawezi kugalauka nini?
 
hahahaha hommie bana, Baaelezeee bana hao....
vimbita sooo bana!

Ila mwanamke asiwe na vigimbi ni noma hayo mazoezi ya kuongeza vigimbi msifanye jamani
 
Shughuli za mwanamke kwa kutwa nzima ni mazoezi tosha,ukiongeza na mazoezi ya chakula cha usiku sidhani kama kuna umuhimu sana wa kufanya mazoezi.
 
kwani anasimamia mbavu? au mgumu kama kina siye wa kanda ile.........!

Haelewi somo anasema mbavu zinamuuma akigeuka ila yeye mgongo ndo umeota sugu
 
Shughuli za mwanamke kwa kutwa nzima ni mazoezi tosha,ukiongeza na mazoezi ya chakula cha usiku sidhani kama kuna umuhimu sana wa kufanya mazoezi.
wanaoshinda kutwa nzima wanazunguka na viti oficn wana mazoezi gani? na akifika home hata fagio hagusi house maid yupo!
 
wanaoshinda kutwa nzima wanazunguka na viti oficn wana mazoezi gani? na akifika home hata fagio hagusi house maid yupo!

Hahahaha na wewe sasa unaua au ndo hawa akiguswa mbavu zinauma akifanya hivi ndo hivyo tena?
 
Back
Top Bottom