Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,228
- 2,064
Mmmh inahitaji mtu awe genious kama mimi kuelewa haya maneno.... lol.Kaka chini chali, nyayo zikanyage ukuta. Onus miguu USA wa wa nyuzi 90 na kuirudisha tena chini.
Bro, information is on your hand, just nenda play store andika aina ya hitaji lako utaletewa mpk na how to do that download kisha uendelee kuangalia na kufatisha mpaka ujue.Habari wana jf.Kwa sisi tunaopenda kufanya mazoezi muda huu tumeshaacha kitanda na kuanza ku burn calories.
Naomba kujuwa ni mazoezi ya namna gani yanaweza kuondoa fat belt kwa haraka zaidi.Nimeanza kufanya mazoezi tangu siku nyingi lakini hili kwangu limekuwa changamoto sana.
View attachment 637469
Nime editMmmh inahitaji mtu awe genious kama mimi kuelewa haya maneno.... lol.
Pale mwanzo ni KAKA au Lala??Nime edit
Asante nitafanya hilo zoezi.Vipi nawe mdau wa workoutsLala chini chali, nyayo zikanyage ukutani. Inua miguu usawa wa wa nyuzi 90 na kuirudisha tena chini.
Haaaaa anaandika huku anasinziaMmmh inahitaji mtu awe genious kama mimi kuelewa haya maneno.... lol.
Very much soAsante nitafanya hilo zoezi.Vipi nawe mdau wa workouts
Najuwa hilo ila kuna baadhi yetu wana wazoezi yao ambayo hayajawekwa huko thus way nataka kuyajuwaBro, information is on your hand, just nenda play store andika aina ya hitaji lako utaletewa mpk na how to do that download kisha uendelee kuangalia na kufatisha mpaka ujue.
Huwa unaenda gym au workoutVery much so
Gym once a week with hubby and daily joggingHuwa unaenda gym au workout