Mazoezi ya aina gani/yapi ili kuondoa fat belt

Mazoezi ya aina gani/yapi ili kuondoa fat belt

Pure_sapiens

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2016
Posts
2,228
Reaction score
2,064
Habari wana JF,

Kwa sisi tunaopenda kufanya mazoezi muda huu tumeshaacha kitanda na kuanza ku burn calories.

Naomba kujuwa ni mazoezi ya namna gani yanaweza kuondoa fat belt kwa haraka zaidi.Nimeanza kufanya mazoezi tangu siku nyingi lakini hili kwangu limekuwa changamoto sana.

IMG_20171124_183926.jpeg
 
Lala chini chali, nyayo zikanyage ukutani. Inua miguu usawa wa wa nyuzi 90 na kuirudisha tena chini.
 
Habari wana jf.Kwa sisi tunaopenda kufanya mazoezi muda huu tumeshaacha kitanda na kuanza ku burn calories.
Naomba kujuwa ni mazoezi ya namna gani yanaweza kuondoa fat belt kwa haraka zaidi.Nimeanza kufanya mazoezi tangu siku nyingi lakini hili kwangu limekuwa changamoto sana.
View attachment 637469
Bro, information is on your hand, just nenda play store andika aina ya hitaji lako utaletewa mpk na how to do that download kisha uendelee kuangalia na kufatisha mpaka ujue.
 
1. TEMBEA NWENDO WA HARAKA HARAKA KWA NUSU SAA TU KWA SIKU KWA MUDA WA WIKI 2 UTAKUWA UMEYACHOMA HAYO MAFUTA YA TUMBONI.

2.KUNYWA JUISI YA MBOGA MBOGA MBICHI KAMA VILE SPIBACH,PURSLANE,AU BEET LEAVES GLASS 1 KILA SIKU ASUBUHI KABLA HUJALA CHOCHOTE. UTAKUWA UMEYAONDOA HAYO MAFUTA KWA MUDA MFUPI SANA.
AHSANTE
 
Bro, information is on your hand, just nenda play store andika aina ya hitaji lako utaletewa mpk na how to do that download kisha uendelee kuangalia na kufatisha mpaka ujue.
Najuwa hilo ila kuna baadhi yetu wana wazoezi yao ambayo hayajawekwa huko thus way nataka kuyajuwa
 
Back
Top Bottom