zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,217
Mwenzenu nimekua mgonjwa wa Mazoezi ya Asubuh.
Kukimbia kuzunguka uwanja kwa dk 45,na Mazoezi ya viungo kwa dk 15,naanza Saa kumi na moja Kamili asubuh..
Nikimaliza Naoga maji ya Vugu vugu,alafu nakunywa na lita 1 ya maji hayo vugu vugu...
Ukimaliza hapo unakuwa mwepesi,na kazi zako unazifanya kwa ufasaha sana.
Mjitahidi wadau.