...Mazoezi Ya Asubuhi...Yana Raha yake.

...Mazoezi Ya Asubuhi...Yana Raha yake.

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
4,873
Reaction score
1,217
Mwenzenu nimekua mgonjwa wa Mazoezi ya Asubuh.

Kukimbia kuzunguka uwanja kwa dk 45,na Mazoezi ya viungo kwa dk 15,naanza Saa kumi na moja Kamili asubuh..

Nikimaliza Naoga maji ya Vugu vugu,alafu nakunywa na lita 1 ya maji hayo vugu vugu...

Ukimaliza hapo unakuwa mwepesi,na kazi zako unazifanya kwa ufasaha sana.
Mjitahidi wadau.
 
Kwa Wakazi wa Gongolamboto muda huo tuko kwenye Daladala
 
Unakaa wapi? Kwa wakazi wa mbagala au manseze mida hyo lzm wakubakize na suti uliyozaliwa nayo tu.
 
Wakazi wa huku kwetu labda uzunguke kuzunguka nyumba. Vibaka watakufanyisha mazoezi ya kung'oa meno kwa roba.
 
Bila shaka Zubeda mazoezi hayo yatakuwa ya mara ya pili baada ya yale ya uwanja wa asili. Utajizeesha kwa mazoezi.
 
Unakaa wapi? Kwa wakazi wa mbagala au manseze mida hyo lzm wakubakize na suti uliyozaliwa nayo tu.

Wakazi wa huku kwetu labda uzunguke kuzunguka nyumba. Vibaka watakufanyisha mazoezi ya kung'oa meno kwa roba.

Wavivu wa Mazoezi utawajua tu.......
Mimi naishi Tandale kwa Tumbo na daily huwa natoka kupiga tizi na meno yangu yote bado nnayo, na vinginevyo pia vipo.
 
Naunga hoja mkono,hakuna kitu kizuri kama kufanya mazoezi asubuhi,unakuwa fit,with alot of confidence plus afya njema!!
 
Kwetu huku tuko hapa Uwanja wa Biafra OUT Kinondoni twafanyishwa mazoezi na Wanaume wenye Maumbile yao.

Tumevalia Skin tight na vitopu vilivyoishia kwenye vitovu.
Karibuni Nyooote.
 
Madame B fanya mazoezi...
 
Shem taja zoezi Gumu hapo limekutoa jasho.

Zoezi gumu ni pale ambapo Mwalimu hulala chali nami huja kulala chali juu yake,kisha twashikana mikono halafu twaenda juu,chini,juu,chini,eti asema lapunguza kitambi.

Nikichoka humlalia kifudi fudi kisha twashikana mikono pamoja na kuipeleka mikono juu,chini,juu,chini.

Shem zoezi hili huwa linanishangaza sana.
Hv nanyi huwa mnafanyiwaga hvo au ni kwa wanawake tu?
 
Nilidhani ni mimi tu ninae fanya mazoezi asubuhi, kumbe tuko wengi. Namaanisha mazoezi ya viungo, alafu yanapunguzan ny**e nakuo0ngeza ufanisi wa ku do
 
Zoezi gumu ni pale ambapo Mwalimu hulala chali nami huja kulala chali juu yake,kisha twashikana mikono halafu twaenda juu,chini,juu,chini,eti asema lapunguza kitambi.

Nikichoka humlalia kifudi fudi kisha twashikana mikono pamoja na kuipeleka mikono juu,chini,juu,chini.

Shem zoezi hili huwa linanishangaza sana.
Hv nanyi huwa mnafanyiwaga hvo au ni kwa wanawake tu?

Sisi tupo wanaume tu....zoezi la kupunguza kitambi lipo hvyo..nyie mna yenu..
 
Back
Top Bottom