Mazoezi ya kegel yamenisaidia sana.

Nebuchadneza

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2023
Posts
435
Reaction score
1,093
Habari zenu.

Kuna vitu vya msingi vya kufanya hapa dunia sio kila mda mnaongelea mpir,mpira tu,
Nawapa ushuhuda wangu mwanzoni nilikuwa na chukua dakika 6 kupiga bao la 1 ila baada ya kutazama video mbalimbali za kegel,na kufanya mazoezi hayo kweli nimekuwa fit sana,goli la 1 napiga dakika 17 mpaka 22 na shemeji yenu moto anaona.

Na baada ya kupiga goli moja mashine bado usimama kwa goli lingine,na hata mashine ikiwa ndani ya uke huwa imara hailegei hovyo.

Kuna mambo ya msingi yatakusaidia kuimarisha mfumo wako wa mashine,sio kila mda mpira tu,badilikeni bana,mataifa kibao wanajiua mpira hata hawautukuzi kama tunaoyofanya sisi.na ndo maana jana tumeletewa ushoga bila kujua,na afcon ushoga unakuja rasmi .
 
Kwa hiyo kupiga mabao ndio mambo ya msingi au vipi.

Kama wewe unavyoona kupigana mabao ndo mambo ya msingi na wenzio mambo ya mpira ndio kipendeleo Chao

Tusipangiane tafazali bloo

We focus kwenye hizo dakika zako 17 sijui 6 na waache wengine wahangaike na mambo yao ya mipira
 
Wenzio wanaocheza mpira bao moja mpaka dk 45 ivi😅😅
 
Nadhani ujielewi na utachapiwa mpka akili ikukae sawa mshamba wewe
 
Una mada nzuri ila kuukashfu mpira haikuwa na ulazima,
Ila sijui kwanin watu wanaumia sana wakiona watu wanafuatilia mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…