Mazungumzo baina ya Mzungu na dereva tksi.

Mazungumzo baina ya Mzungu na dereva tksi.

Kimbori

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
6,552
Reaction score
5,272
Mzungu alishuka toka Ulaya, akapanda teksi ili kwenda hotelini kwa mapumziko. Wakiwa kwenye foleni, dereva teksi akatoa hewa chafu, hewa hiyo chafu ikadumu takribani saa moja.
Dereva akamuuliza Mzungu, je unaonaje hali ya hewa ya DSM?
Mzungu: muda si mrefu itashuka mvua ya MAVI...
 
mbavu zangu jamani!ushuzi saa nzima!au ana2mia madini ya uranium hee!
 
Back
Top Bottom