SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Leo nimeamshwa na sauti za gari la wabeba taka. Nikasikia wakizungumza kwa sauti ya juu huku wanakusanya madumu ya taka na kurusha kwenye gari.
"Usioe mwanamke ambaye atakukimbia siku ikibidi mle mboga za majani na chai" (sina uhakika kama alisema chai)
Yakafuata matusi
"Siyo unaona mwanamke tumbo limenenepeana tuu"
Yakafuata matusi mengine
Mazungumzo yale yaliendelea ila sauti ikaendelea kufifia kwa jinsi walivyokuwa wanaondoka. Nilitaka niruke kitandani labda hata nikawarekodi mazungumzo yao ila sikuwa na nguvu za kunyanyuka kwa haraka.
Sijui kwa nini nimesikia maneno haya asubuhi hii.