Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndo hujawaelewa!!!Hayo yalikuwa ni maoni yao, Kwa sababu saizi ya wanawake inayowatosha ni hao wa kula mchicha na chai, Wewe oa unayeweza kummudu, ukitaka wa matawi ya juu lazima na Wewe uwe matawi.
Wewe ndo hujawaelewa!!!
Leo unaweza kuwa na uwezo wa size ya mwanamke wa nyama kwa wiki mara tatu kesho huijui channel zako za hela zikajifunga ikabidi uhamie mchicha mara 29 kwa mwezi nyama mara moja tu akakukimbia.
Nimeshangaa wabeba taka wamekuzidi hata wewe akili,ungesema achukue size ya mchicha na chai potelea mbali maisha yakibadilika mbele ya safari akawa na uwezo wa nyama
Naona umehemuka. Pole.Usikariri maisha. Ukilala wewe unataka kila mtu akalale? Nyie ndiyo mnatengeneza vazi la taifa eti tuvae tufanane.