Hahahaaaa! Ila watu ni watata sana. Sasa yeye kulala wewe inakuhusuje!Mkuu upo nchi gani? maana huku tz ni mchana na jua ni kali kwelikweli.
Ni aibu sana Mwanaume kulala lala ovyo mpaka mchana wote huu.
Mboga za majani ni huku kwa Mungu.. Nadhani umenielewa...!Leo nimeamshwa na sauti za gari la wabeba taka. Nikasikia wakizungumza kwa sauti ya juu huku wanakusanya madumu ya taka na kurusha kwenye gari.
"Usioe mwanamke ambaye atakukimbia siku ikibidi mle mboga za majani na chai" (sina uhakika kama alisema chai)
Yakafuata matusi
"Siyo unaona mwanamke tumbo limenenepeana tuu"
Yakafuata matusi mengine
Mazungumzo yale yaliendelea ila sauti ikaendelea kufifia kwa jinsi walivyokuwa wanaondoka. Nilitaka niruke kitandani labda hata nikawarekodi mazungumzo yao ila sikuwa na nguvu za kunyanyuka kwa haraka.
Sijui kwa nini nimesikia maneno haya asubuhi hii.
bado hawajauamisha tu..Nimesoma sijaelewa,nikarudia tena na tena kusoma nikagundua kweli sijaelewa kilichoandikwa[emoji28]
Alafu Uzi upo jukwa la siasa..Safi sana [emoji28]
That's for you to ponder.Hahahaaaa! Ila watu ni watata sana. Sasa yeye kulala wewe inakuhusuje!
Bahati mbaya wanawake hawaji na bango usoni 'HUYU ATAKUKIMBIA' ni mpaka siku utakayokula mboga za majani na chai ndio utajua umeoa wa aina gani."Usioe mwanamke ambaye atakukimbia siku ikibidi mle mboga za majani na chai" (sina uhakika kama alisema chai)
Dongo kwa sa100 [emoji1787]tumesha juaLeo nimeamshwa na sauti za gari la wabeba taka. Nikasikia wakizungumza kwa sauti ya juu huku wanakusanya madumu ya taka na kurusha kwenye gari.
"Usioe mwanamke ambaye atakukimbia siku ikibidi mle mboga za majani na chai" (sina uhakika kama alisema chai)
Yakafuata matusi
"Siyo unaona mwanamke tumbo limenenepeana tuu"
Yakafuata matusi mengine
Mazungumzo yale yaliendelea ila sauti ikaendelea kufifia kwa jinsi walivyokuwa wanaondoka. Nilitaka niruke kitandani labda hata nikawarekodi mazungumzo yao ila sikuwa na nguvu za kunyanyuka kwa haraka.
Sijui kwa nini nimesikia maneno haya asubuhi hii.
Nilidhani ni hii bangi niliyovuta imesababisha nisielewe kumbe na wengine hamjaelewa kama mimiNimesoma sijaelewa,nikarudia tena na tena kusoma nikagundua kweli sijaelewa kilichoandikwa[emoji28]
Alafu Uzi upo jukwa la siasa..Safi sana [emoji28]
Naomba nitambue kwanza jinsia yako ili niweze kuchangia chochote kitu.Leo nimeamshwa na sauti za gari la wabeba taka. Nikasikia wakizungumza kwa sauti ya juu huku wanakusanya madumu ya taka na kurusha kwenye gari.
"Usioe mwanamke ambaye atakukimbia siku ikibidi mle mboga za majani na chai" (sina uhakika kama alisema chai)
Yakafuata matusi
"Siyo unaona mwanamke tumbo limenenepeana tuu"
Yakafuata matusi mengine
Mazungumzo yale yaliendelea ila sauti ikaendelea kufifia kwa jinsi walivyokuwa wanaondoka. Nilitaka niruke kitandani labda hata nikawarekodi mazungumzo yao ila sikuwa na nguvu za kunyanyuka kwa haraka.
Sijui kwa nini nimesikia maneno haya asubuhi hii.
Billnas mbona sio tawi na kaoa nandy? [emoji2]Hayo yalikuwa ni maoni yao, Kwa sababu saizi ya wanawake inayowatosha ni hao wa kula mchicha na chai, Wewe oa unayeweza kummudu, ukitaka wa matawi ya juu lazima na Wewe uwe matawi.
Mkuu upo nchi gani? maana huku tz ni mchana na jua ni kali kwelikweli.
Ni aibu sana Mwanaume kulala lala ovyo mpaka mchana wote huu.