Mazungumzo ya doctor wa magonjwa ya akili akiwa njiani kumrudisha mgonjwa wake aliepona ukichaa wa akili

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
25,190
Reaction score
27,434
Mgonjwa:kwa hiyo dokta saa hivi unanipeleka nyumbani.
Dokta:ndio naona sasa umepona kabisa inafaa ukakae nyumbani.
Mgonjwa:safi sana nafurahi mno maana ni siku nyingi sijaona mke wangu na watoto wangu.
Dokta:ni kweli tuombe Mungu tufike salama.

Baada ya kukaribia nyumbani kwa mbalii mgonjwa wa akili akiwa na dokta wakaona watoto wawili wamevaa sare za shule wanatoka ndani

Mgonjwa;wale palee watoto wangu wanajiandaa kwenda shule.
Dokta:kweli naona sasa unepona kabisa.
Mara akatoka na mwanamke mle.
Mgonjwa;na yule pale ni mke wangu tena amenenepa sana nafurahi kumwona.

Dokta;kweli sasa umepona kabisa hadi mkeo unamkumbuka?kweli mgonjwa wangu Mungu ni mkubwa sasa umepona kabisa.
Mara mle ndani akatokeza jamaa na bag mkononi.

Mgonjwa:na yule ni mimi najiandaa kwenda kazini.

Dokta ndio anasubiri gari na pingu wamkamate mgonjwa wao warudishe hospitali[emoji23][emoji23]
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…