sabari
Senior Member
- Jul 23, 2015
- 153
- 53
jamaa itafute "free weezy album" iliyotoka kupitia tidal imekua downloaded 10mil times humo ndani kuna nyimbo kama without you kaimba na bibi bourley na my heart races on ft Jake troth utaamini kua lil Wayne bado ana uwezo wa kuandika na kutoa a classic albumIlibaki kidogo tu Wayne a-sign chini ya Jay-Z back in the day. Jay alifanya utu tu kwa Birdman. Pengine kama hiyo deal ingekuwa, tusingekuwa na retarded version of Wayne leo.
"B!cth niggas go behind your back, like nunchucks/". Seriously??