Mazungumzo ya kuwapatanisha Birdman na Lil Wayne yagonga mwamba

Mazungumzo ya kuwapatanisha Birdman na Lil Wayne yagonga mwamba

Ilibaki kidogo tu Wayne a-sign chini ya Jay-Z back in the day. Jay alifanya utu tu kwa Birdman. Pengine kama hiyo deal ingekuwa, tusingekuwa na retarded version of Wayne leo.

"B!cth niggas go behind your back, like nunchucks/". Seriously??
jamaa itafute "free weezy album" iliyotoka kupitia tidal imekua downloaded 10mil times humo ndani kuna nyimbo kama without you kaimba na bibi bourley na my heart races on ft Jake troth utaamini kua lil Wayne bado ana uwezo wa kuandika na kutoa a classic album
 
someone is trying to compare young thug and lil tunechi.... Like seriously,
 
naona birdman a.k.a baby anazingua kumbuka tyga alitoka coz baby alibania album yake kutoka pamoja na kutoelewana na drake. pia album ya wayne haijatoka coz birdman kakataa sasa naona hapa birdman anajitengenezea bomu mwenyewe limlipue. wayne anaibeba cashmoney youngmoney yan vinategemeana na weezy akifanikiwa kuondoka im sure cash money itakufa ndo maana birdman hatak kumwachia. chamsingi birdman akubali kakosea yaoshe waendelee kumbuka wayne ni kama katoto kake kakalea toka kakiwa kadogo.
pia naona wayne keshakua mkubwa now anataka kujitegemea na kufanya maishu zake peke yake.
 
Back
Top Bottom