100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
View: https://www.youtube.com/watch?v=gO-dZiTtIVQ
Updates....
Polepole: Mtu fulani ofisi binafsi ya rais anamkosea sana mama Samia, anamchomekea maneno fulani ya uongo na kuchukiza kwa watu
Kutiki ni lazima nani amsikilize kichwa papaiMwambie anapoteza muda tu October tunatiki na mama ✅
View attachment 3467577
🚮Mwambie anapoteza muda tu October tunatiki na mama ✅
View attachment 3467577
hii itakuwa akili mnemba mkuuMwambie anapoteza muda tu October tunatiki na mama ✅
View attachment 3467577
Kabisa! Naona ameirudisha kinyemela ile shule yake uongozi aliyokuwa akiitoa kabla ya kuwa balozi, baada ya kuwa balozi pale Malawi.Polepole ameamua kujiajiri youtube
Huyu jamaa hajielewi,huwezi kutaka mabadiliko ya nchi na kuing'ang'ania CCM. Huyu navyoongea ni kama anaaamini atarudi na kupewa mafasi ndani ya CCM. Hauwezi kumtenganisha mama na Magufuli. Magufuli ndio alianzisha haya anayofanya Mama. Mimi nilishakacha kumsikiliza huyu dogo.Tunasikiliza hapa ktk kijiwe chetu, tutatoa mrejesho :
Mada :
POLEPOLE - TUSIKUBALI MARIDHIANO BAADA YA UCHAGUZI FEKI, MAANA NI UTAPELI
7 September 2025
Mazungumzo ya Ndg. Polepole leo 07-09-2025: CCM isisahau Misingi yake
- Poleni kwa midikosiko kwa yale niliyoyasema
- Maafisa wa itifaki Ikulu na wizara ya mambo ya nje
- Angalizo kwa idara ya usalama wa taifa TISS
- Jamaa bonge bonge 'biggie' wa Zimbabwe mwenye sifa za utata kujaribishwa ikulu
- Biggie kuposti mapicha picha
- Utamaduni wa protokali umenajisiwa
- Heshima ya taasisi ya urais umekiukwa
- Jamii Afrika almaarufu JamiiForums kubebeshwa lawama
- Mapicha picha ya jamaa wa Zimbabwe na safari ya mwisho ya JPM Morogoro
- Tabia za hovyo za biggie tipwatipwa Wicknell sebuleni kwake kuletwa hadi Ikulu ya Tanzania
- Madai ya TCRA kuhusu mizania ya habari kuto balansi-wa
- Ubabe wa vyombo
- Marufuku ya media kurusha mazungumzo ya Humphrey Polepole
- Na nukta / point kibao, futatilia kuiangalia video hadi mwishon
Utabiri wa Humphrey Polepole kuhusu picha kubwa nje ya box ya Mapicha picha ya Biggie jamaa wa Zimbabwe mfanyabishara mwenye utata, na pia safari ya mwisho ya JPM Morogoro