Mazungumzo ya Ndg. Polepole leo 07-09-2025: CCM isisahau Misingi yake

Tunasikiliza hapa ktk kijiwe chetu, tutatoa mrejesho :

Mada :

POLEPOLE - TUSIKUBALI MARIDHIANO BAADA YA UCHAGUZI FEKI, MAANA NI UTAPELI

7 September 2025
Mazungumzo ya Ndg. Polepole leo 07-09-2025: CCM isisahau Misingi yake
  • Poleni kwa misukosuko kwa yale niliyoyasema
  • Maafisa wa itifaki Ikulu na wizara ya mambo ya nje
  • Angalizo kwa idara ya usalama wa taifa TISS
  • Jamaa bonge bonge 'biggie' wa Zimbabwe mwenye sifa za utata kujaribishwa ikulu
  • Biggie kuposti mapicha picha
  • Utamaduni wa protokali umenajisiwa
  • Heshima ya taasisi ya urais umekiukwa
  • Jamii Afrika almaarufu JamiiForums kubebeshwa lawama
  • Mapicha picha ya jamaa wa Zimbabwe na safari ya mwisho ya JPM Morogoro
  • Tabia za hovyo za biggie tipwatipwa Wicknell sebuleni kwake kuletwa hadi Ikulu ya Tanzania
  • Madai ya TCRA kuhusu mizania ya habari kuto balansi-wa
  • Ubabe wa vyombo
  • Marufuku ya media kurusha mazungumzo ya Humphrey Polepole
  • Na nukta / point kibao, futatilia kuiangalia video hadi mwishon
 
Mjinga kama polepole anatakiwa anaongeza mwanaume kuwa mzushi ni ufafanuzi sana

USSR
 
Huku kwetu hatusikii vizuri wakuu, naomba mwenye maneno kuntu atuwekee hapa chap
 
Polepole ameamua kujiajiri youtube
Kabisa! Naona ameirudisha kinyemela ile shule yake uongozi aliyokuwa akiitoa kabla ya kuwa balozi, baada ya kuwa balozi pale Malawi.

Tunataka ateme cheche na ashushe mabomu yanayoparaganya ikulu.
 
Huyu jamaa hajielewi,huwezi kutaka mabadiliko ya nchi na kuing'ang'ania CCM. Huyu navyoongea ni kama anaaamini atarudi na kupewa mafasi ndani ya CCM. Hauwezi kumtenganisha mama na Magufuli. Magufuli ndio alianzisha haya anayofanya Mama. Mimi nilishakacha kumsikiliza huyu dogo.
 
Utabiri wa Humphrey Polepole kuhusu picha kubwa nje ya box ya Mapicha picha ya Biggie jamaa wa Zimbabwe mfanyabishara mwenye utata, na pia safari ya mwisho ya JPM Morogoro

UTABIRI WA POLEPOLE KUHUSU KILICHO NYUMA YA MKUTANO MKUU WA CCM DODOMA KATIBA KUKIUKWA NA MADHARA YAKE BAADA YA OCTOBER 2025

22 October 2025
ZANU PF Inatarajiwa Kuidhinisha kuongeza Muhula wa Utawala wa Mnangagwa hadi 2030 na zaidi


View: https://m.youtube.com/watch?v=kMsZMEwHaXQChama tawala nchini Zimbabwe, ZANU PF, kinahitimisha mkutano wake mkuu wa chama kila mwaka, ambapo kuongezwa kwa muda mihula wa urais Emmerson Mnangagwa kuna uwezekano kupitishwa.

Uamuzi huo unafuatia azimio lenye utata lililopitishwa mwaka jana la kuongeza muda wa utawala wa Mnangagwa hadi 2030 na zaidi. Kwa maana hiyo Emmerson Mnangagwa anataka kuhitimisha miaka 18 hadi mwaka 2035 atapotimiza umri wa miaka 93 kwa kisingizio cha kurekebisha makosa yaliyofanyika wakati wa utawala wa Rais Robert Mugabe
 
20 October 2025

Zimbabwe’s governing party moves to extend Mnangagwa presidency to 2030


View: https://m.youtube.com/watch?v=ebpqp8Lgw40​

As Zimbawe's ruling party the ZANU-PF moves to extend President Emmerson Mnangagwa's term by two more years potentially keeping him in power until 2030 the development has reignited fears of authoritarian consolidation in Zimbabwe.

The ruling party, which has governed since independence in 1980, passed a resolution at its annual conference held over the weekend in the eastern city of Mutare directing the government to "initiate the requisite legislative amendments" to make the extension possible.

Critics see it as a direct assault on the Constitution, which limits presidents to two five-year terms.

Zimbabwe's opposition leader Job Sikhala, a veteran of Zimbabwe's pro-democracy struggle and former MP, has long warned against what he calls "creeping authoritarianism.

He now joins us on the line to shares his views on what Mnangagwa's term-extension bid means for the country, the future of Zimbabwe's democracy, and how the opposition intends to respond.
Source : Channel Africa
 
22 October 2025

Opposition parties in Zimbabwe have condemned Zanu PF's resolution to extend President Emmerson Mnangagwa's term by two years to 2030.

View: https://m.youtube.com/watch?v=nGFufNXIbRQThe resolution was accepted at the ruling party's 22nd Annual People's Conference in Mutare over the past weekend.Former Citizen Coalition for Change leader Nelson Chamisa took to social media saying that the resolutions bind ZANU PF and her members, not Zimbabwe and her people.

Triple C interim leader Jameson Timba says only a referendum can decide on the constitutional changes.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…