Mazungumzo ya Ndg. Polepole leo 31 Agosti 2025 na umma

Mazungumzo ya Ndg. Polepole leo 31 Agosti 2025 na umma

4. Pia amesisitiza na kupinga vikali swala la Raisi Samia Suluhu Hassan kugombea tena awamu hii, huku akisema hakutakiwa kugombea. Huku akisema Samia akipata Uraisi hata waheshimu na kuwasikiliza raia wake.
Hili mbona siyo jipya, na nina hakika atakapo rudi kwa kutumia hizi njia za kulazimisha hali itakuwa mbaya zaidi.

Kiongozi aliye amua kujitangaza wazi kuwa hataki kusikia kelele za wananchi wake kwa kujipachika jina la "chura Kiziwi" ili asisikie malalamiko ya wananchi unafikiri atafanyaje akirudi kwa hasira nyingi baada ya kutupiwa kila aina ya maneno asiyo penda kusikia!

Inawezekana tukashuhudia jambo ambalo hatujapata kulishuhudia ndani ya nchi hii iwapo mwanamke mwenye kiburi hhuyu ataendelea kukaa madarakani kwa nguvu.
 
Tunaingia kwenye hatua hiyo. Ngoja huyu Polepole amalizie mhula wake.

Mambo ndio kwanza yanachemka; Samia asidhani kuna mteremko hapa.


Kwani unadhani NO REFORM NO ELECTION ilikufa?
Mambo ndio kwanza yanachemka; Samia asidhani kuna mteremko hapa.
 
1. Ndugu H. Polepole leo ameanza kuelezea bei ya mtungi wa gesi wa Kilo 20 Cuba ambayo ni 2000/= TZS na kukusisitiza hapa Tanzania tunapigwa na Mafisadi, huku Gesi tunayo lakini mtungi ni 60,000/= TZS. Amefanya hivyo kwa kujibu hoja za Bwana Ezekiel Kimwaga aliyekemjeli Ndugu Polepole na kusema muongo kuhusu bei halisia ya mitungi ya gesi Cuba kupitia Press yake aliyoifanya tarehe 29-08-2025.

2. Pia amelezea kuhusu Jiografia ya nchi ya Cuba, Miji mikubwa, Miji ya Utalii, Miji ya Kihistoria, Balozi na maeneo nyeti ya nchi ya Cuba na huku akifafanua kwa undani kuonyesha Nchi ya Cuba anaielewa kiundani zaidi. Huku akihitaja miji kama Matanzas, Havana (La Habana), Santa Clara, Bayamo, Cienfuegos, Santiago de Cuba, Camagüey, Guantánamo na mingineyo.

3. Pia amegusia kuwa Cuba ni nchi yenye uchumi wa kijamaa (socialist economy) na ndio nchi iliyo wekewa vikwazo vigumu na Nchi ya Marekani. Lakini nchi ya Cuba ndiyo rafiki mkubwa wa nchi za Afrika kutoka ukanda wa Western Hemisphere -- akisisitiza Ndugu Polepole.

4. Pia amesisitiza na kupinga vikali swala la Raisi Samia Suluhu Hassan kugombea tena awamu hii, huku akisema hakutakiwa kugombea. Huku akisema Samia akipata Uraisi hata waheshimu na kuwasikiliza raia wake.

5. Amesema Tanzania ina viongozi wabaya ambao hawaelewi maslahi mapana ya nchi yetu ya Tanzania.

6. Pia amegusua ujenzi wa bandari kavu ya Kwala --- huku akisema tumesha chelewa ilitakiwa iwepo miaka 5 nyuma. Huku akisema Bandari kavu inatakiwa iwepo Morogoro na Dodoma, ilikupunguza msongamano wa Malori barabarani na kuongeza mzunguko wa mapato nchini.

Next Press -->Jumatano, Saa 3:00 Usiku -----> Kaa tayari.

"Ukombozi huanza akilini"

Link Below


View: https://www.youtube.com/watch?v=Uz_tHuV_lbc​


Katika yote aliyoongea nimeelewa hapo aliposema “Cuba imenifunza mengi”
 
Huyu anazidi kuchanganyikiwa na kukosa hoja, mara alete ya Cuba mara wapi. Mwahisheni hospitali ya wehu
 
View attachment 3460663 Kilaza SLUG hajui hata kudanganya!
😅 :peepoSpeed:
NB: 1. Kwa bei ya Polepole ya gesi,Cuba, nchi hiyo ingekuwa kimbilio la 'wanyonge' wote Duniani!
2. Hata kwa 'psychology' ya kiwango cha chini kabisa, ukiangalia tu macho yake na unyevunyevu wake, anapowasilisha 'story' zake nyingi, utaona kabisa huyu mtu ni muongo na nafsi inamsuta!
3. Wakati shujaa wetu, JPM, anatutoka, hivi viumbe vilivamia BOT na kuchota humo vilivyoweza kuchota! ... dhahabu yetu, pesa zetu za madafu na za kigeni ndizo sasa zinaendesha hizi harakati za akina polepole! WOTE WEZI TU!
Acha ujinga, sema shujaa wako wewe na Sukuma gang. Yaani Jiwe unamuita shujaa wako!! Utakuwa na wewe ni wale mliokuwa mnajiita wanyonge.
 
Asubuhi nimemwambia huyo Mwandishi ni bomu kabisa. Anatumia google kujibu hoja wakati ana simu na Anaweza kupata facts kutoka source? Si angeenda tu hata ubalozi wa Cuba kuuliza?

Tuna Waandishi wa habari vilaza kabisa.
Hawa unao waita waandishi wa habari wamepewa majukumu. Si ajabu kisha ahidiwa ukuu wa wilaya tayari; na kama si hivyo, basi kapewa bahasha ya kaki kwa kazi yake ya kishetani hiyo.

Mwandishi gani wa habari asiyejuwa vyanzo sahihi vya kutafutia habari sahihi!
 
Comrade Polepole is a proverbial example of Pig Squealer from The Animal Farm. An advanced Spin-Doctor who can sanitize anything dirty .

Oooh this time CCM has met their match 🤣🤣🤣
 
Ng'ombe za mama ..



506363624_18514727983054954_4567348936021459078_n.jpg

94351755_2539785432900533_4133298086959120384_n.jpg

497552095_1288110889992370_4469779133894973736_n.jpg
 
Back
Top Bottom