AsanteKARIBU SANA!
AsanteKARIBU SANA!
nilikuwa natamani sana kupata jimama hapa jf nipate kulibagaza huku niikilibananga tartiiiiibu. Kwa heshima na taadhima naomba kuwasogeza mbele yenu mwanasheria wangu Lamomy na hasimu wake dokta hensamu hazbandi matirio haszu waseme neno. makofi kwao tafadhaliiiiiiiiView attachment 3460663 Kilaza SLUG hajui hata kudanganya!
😅
NB: 1. Kwa bei ya Polepole ya gesi,Cuba, nchi hiyo ingekuwa kimbilio la 'wanyonge' wote Duniani!
2. Hata kwa 'psychology' ya kiwango cha chini kabisa, ukiangalia tu macho yake na unyevunyevu wake, anapowasilisha 'story' zake nyingi, utaona kabisa huyu mtu ni muongo na nafsi inamsuta!
3. Wakati shujaa wetu, JPM, anatutoka, hivi viumbe vilivamia BOT na kuchota humo vilivyoweza kuchota! ... dhahabu yetu, pesa zetu za madafu na za kigeni ndizo sasa zinaendesha hizi harakati za akina polepole! WOTE WEZI TU!
1. Ndugu H. Polepole leo ameanza kuelezea bei ya mtungi wa gesi wa Kilo 20 Cuba ambayo ni 2000/= TZS na kukusisitiza hapa Tanzania tunapigwa na Mafisadi, huku Gesi tunayo lakini mtungi ni 60,000/= TZS. Amefanya hivyo kwa kujibu hoja za Bwana Ezekiel Kimwaga aliyekemjeli Ndugu Polepole na kusema muongo kuhusu bei halisia ya mitungi ya gesi Cuba kupitia Press yake aliyoifanya tarehe 29-08-2025.
2. Pia amelezea kuhusu Jiografia ya nchi ya Cuba, Miji mikubwa, Miji ya Utalii, Miji ya Kihistoria, Balozi na maeneo nyeti ya nchi ya Cuba na huku akifafanua kwa undani kuonyesha Nchi ya Cuba anaielewa kiundani zaidi. Huku akihitaja miji kama Matanzas, Havana (La Habana), Santa Clara, Bayamo, Cienfuegos, Santiago de Cuba, Camagüey, Guantánamo na mingineyo.
3. Pia amegusia kuwa Cuba ni nchi yenye uchumi wa kijamaa (socialist economy) na ndio nchi iliyo wekewa vikwazo vigumu na Nchi ya Marekani. Lakini nchi ya Cuba ndiyo rafiki mkubwa wa nchi za Afrika kutoka ukanda wa Western Hemisphere -- akisisitiza Ndugu Polepole.
4. Pia amesisitiza na kupinga vikali swala la Raisi Samia Suluhu Hassan kugombea tena awamu hii, huku akisema hakutakiwa kugombea. Huku akisema Samia akipata Uraisi hata waheshimu na kuwasikiliza raia wake.
5. Amesema Tanzania ina viongozi wabaya ambao hawaelewi maslahi mapana ya nchi yetu ya Tanzania.
6. Pia amegusua ujenzi wa bandari kavu ya Kwala --- huku akisema tumesha chelewa ilitakiwa iwepo miaka 5 nyuma. Huku akisema Bandari kavu inatakiwa iwepo Morogoro na Dodoma, ilikupunguza msongamano wa Malori barabarani na kuongeza mzunguko wa mapato nchini.
Next Press -->Jumatano, Saa 3:00 Usiku -----> Kaa tayari.
"Ukombozi huanza akilini"
Link Below
View: https://www.youtube.com/watch?v=Uz_tHuV_lbc
we hanithi nini? cheti uliambiwa kaomba kujiunga JW? hoja ni kuuziwa gas yetu wenyewe, wametufanya kitimotoAisee
Naisikitikia nchi yangu,
Hii nchi imejaa wapumbavu narudia imejaa mambulula haswa....
Yaani huyu kichwa pumbu polepole kweli alijua hii nchi ni ya wapumbavu,
Kwanza aweke hapa matokeo ya Maths kidato cha nne?
Huyu mpumbavu hajaleta uthibitisho wowote zaidi ya kutumia kitecno chake kuhakachua upupu...
Anaongelea exhange rate kama anaongelea bei za bidhaa soko la tandale, huyu kichwa pumbu
Na wanamuamini huyu fyongo ndio wanatia huruma......
Kuna Huyu mwandishi chawa anaitwa Ezekiel Kimwaga alimuandika kuwa Polepole anaongopa kuhusu bei ya mitumgi ya gesi huko Cuba kuwa ni rahisi ukifananisha na bei wanayouza Taifa gas ya Rostam Aziz!Sidhani kama tunalengwa... Ila naona anapiga stori kuhusu Cuba ili kuonesha wapi alipata bei ya mitungi ya gesi.
Chatgpt bado haina taarifa zote ulimwengu mzima!hakuna mtungi wa gesi wa chini ya dola moja huko Cuba, nimeulizia chatgpt ikanipa figure moja kubwa kidogo
Wewe ndio bwege Hujui kitu kwani exchange rate ni nini sio bei? Hujui kitu kaa kimya!Aisee
Naisikitikia nchi yangu,
Hii nchi imejaa wapumbavu narudia imejaa mambulula haswa....
Yaani huyu kichwa pumbu polepole kweli alijua hii nchi ni ya wapumbavu,
Kwanza aweke hapa matokeo ya Maths kidato cha nne?
Huyu mpumbavu hajaleta uthibitisho wowote zaidi ya kutumia kitecno chake kuchakachua upupu...
Anaongelea exhange rate kama anaongelea bei za bidhaa soko la tandale, huyu kichwa pumbu
Na wanamuamini huyu fyongo ndio wanatia huruma......
xummmaaaaaako, umeukalia saa hii, na wakati huo huo unawaza mb0r0 nyingine kwa kukwoti wanaume wengine...we hanithi nini? cheti uliambiwa kaomba kujiunga JW? hoja ni kuuziwa gas yetu wenyewe, wametufanya kitimoto
Labda wewe ndiyo una dalali zote za kuchanganyikiwa, "kwa maana hata chizi umuone yule anayemtibia ndiye chizi."Huyu anazidi kuchanganyikiwa na kukosa hoja, mara alete ya Cuba mara wapi. Mwahisheni hospitali ya wehu
Acha ushamba...! sasa matusi ya nini?xummmaaaaaako, umeukalia saa hii, na wakati huo huo unawaza mb0r0 nyingine kwa kukwoti wanaume wengine...
Buffoon..Acha ushamba...! sasa matusi ya nini?
Jibu hoja kama huna hoja, kuwa mpole sindano ikuingie.
Usifungue link inayowekwa humu Kuching. Ingia youtube maongezi ya pole pole yapoAu mnataka mtudake wakuu! Hii link imekaa kimtego
🤣Katika yote aliyoongea nimeelewa hapo aliposema “Cuba imenifunza mengi”
Edit au Futa hiyo comment yako. Watu ushindana kwa hoja na sio matusi.Buffoon..
Huyo ***** alienikwoti alikuwa anawaza uhanithi wake?
Nchi za nje huku gesi na umeme ni kama bure. Yaani sijawahi ku notice gharama ya hivo vituhili la gas naungana nae, gas imekaa kama ushuzi pyuu imeisha elfu 60 imekwenda, ndo maana vijijini hawataki kusikia stori za gas, gas inachimbwa bure songosongo kwanini sie watuuzie ndoo ya gas elfu 60, na haichakatwi kama dhahabu
Kwa sasa kuwa mpole.Tufanyeje sasa, toa suluhu ya nini tufanye
Na mimi nlilisema kitu hicho hicho eti,mwandishi kibonge yule anaongea huku ana hemaAsubuhi nimemwambia huyo Mwandishi ni bomu kabisa. Anatumia google kujibu hoja wakati ana simu na Anaweza kupata facts kutoka source? Si angeenda tu hata ubalozi wa Cuba kuuliza?
Tuna Waandishi wa habari vilaza kabisa.