Mazungumzo ya Ndg. Polepole leo 31 Agosti 2025 na umma

4. Pia amesisitiza na kupinga vikali swala la Raisi Samia Suluhu Hassan kugombea tena awamu hii, huku akisema hakutakiwa kugombea. Huku akisema Samia akipata Uraisi hata waheshimu na kuwasikiliza raia wake.
Hili mbona siyo jipya, na nina hakika atakapo rudi kwa kutumia hizi njia za kulazimisha hali itakuwa mbaya zaidi.

Kiongozi aliye amua kujitangaza wazi kuwa hataki kusikia kelele za wananchi wake kwa kujipachika jina la "chura Kiziwi" ili asisikie malalamiko ya wananchi unafikiri atafanyaje akirudi kwa hasira nyingi baada ya kutupiwa kila aina ya maneno asiyo penda kusikia!

Inawezekana tukashuhudia jambo ambalo hatujapata kulishuhudia ndani ya nchi hii iwapo mwanamke mwenye kiburi hhuyu ataendelea kukaa madarakani kwa nguvu.
 
Tunaingia kwenye hatua hiyo. Ngoja huyu Polepole amalizie mhula wake.

Mambo ndio kwanza yanachemka; Samia asidhani kuna mteremko hapa.


Kwani unadhani NO REFORM NO ELECTION ilikufa?
Mambo ndio kwanza yanachemka; Samia asidhani kuna mteremko hapa.
 
Katika yote aliyoongea nimeelewa hapo aliposema “Cuba imenifunza mengi”
 
Huyu anazidi kuchanganyikiwa na kukosa hoja, mara alete ya Cuba mara wapi. Mwahisheni hospitali ya wehu
 
Acha ujinga, sema shujaa wako wewe na Sukuma gang. Yaani Jiwe unamuita shujaa wako!! Utakuwa na wewe ni wale mliokuwa mnajiita wanyonge.
 
Asubuhi nimemwambia huyo Mwandishi ni bomu kabisa. Anatumia google kujibu hoja wakati ana simu na Anaweza kupata facts kutoka source? Si angeenda tu hata ubalozi wa Cuba kuuliza?

Tuna Waandishi wa habari vilaza kabisa.
Hawa unao waita waandishi wa habari wamepewa majukumu. Si ajabu kisha ahidiwa ukuu wa wilaya tayari; na kama si hivyo, basi kapewa bahasha ya kaki kwa kazi yake ya kishetani hiyo.

Mwandishi gani wa habari asiyejuwa vyanzo sahihi vya kutafutia habari sahihi!
 
Comrade Polepole is a proverbial example of Pig Squealer from The Animal Farm. An advanced Spin-Doctor who can sanitize anything dirty .

Oooh this time CCM has met their match 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…