Mazungumzo ya Ndg. Polepole leo 31 Agosti 2025 na umma

Kabisa mkuu.
 
Angela kiziga Rostam Aziz na magenge yao ya wizi wa pesa za walipa kodi wakidaiwa warejeshe pesa walizokwapua kwa ufisadi hakika Tanzania itapiga hatua kimaendeleo na hizo pesa zinaweza kutosha kujenga Daraja toka Dar es salaam hadi unguja Zanzibar Nchi ikawa na maendeleo kama china Singapore japan korea German nk
 
Ukisikia maji kukorogeka ndiko huku sasa. Watu hawajui nani mtetezi wao maana Sukuma gang ya pole pole hawaitaki na wahuni pia hawatakiwi, Ccm pia kuna mpasuko. Labda chauma 😂😂😂😂😂
Tumuombe Mungu atuvushe salama kwenye hili
 
Mengi ya kujifunza Cuba ni mfumo wa Serikali kuwajali wananchi zaidi kuliko kuiba pesa zao wanazolipa kodi
what about commando,hand to hand combat( gijuruu,jundokan,yugidach guu?) or camouflage expert
 
Huyo mbwa na kichwa kipapai amechanganyikiwa, yeye ni nani kutupangia anayestahili kugombea urais? Amejipa umaarufu na umuhimu ambao hana. Hilo kibwengo haijui CCM limeokotwa na Magu sijui wapi. Ht hivyo CCM imempuuza maana hana impact yyte. Kimsingi ni jinga kubwa.
 
huwezi kujua mpaka uende ndani ndani huko anasema...ila bei ni "AFMBILI" mtungi wa wa kilo 20 😆
 
Sera zilimfanya Magu ampe nafasi apate mafuta kidogo uso ukanawiri, ni zile za kumtusi na kumkejeli komredi lowasa...NAONA ANAZIRUDIA,ILA HUKU NAONA KAPUUZWA NA ATA PUUZWA MILELE😆
 
Huduma ya Gas kule Cuba bure hizo 2000 ni kuchangia huduma tu, wao walijipanga vizuri wakaona watoe huduma nafuu kwa wananchi wao
Gas haijawahi kuwa bure Cuba bei ya chini ilikua CUP 110 kwa 10kg ambayo ukigwa ni 11cup kwa 1kg hii ni kipindi wako ndani ya maktaba na Venezuela wakipewa mafuta kama msaada (in kind) Kuanzia 2023 bei zilipanda mpaka 225cup bei ya serikali lakini ilikua kwenye makaratasi kwasababu gesi ilikua haipatikani kwenye informal market ilifika Hadi $100+ kwa 25kg
 
hana lo lote, hiyo Cuba aliyoishi kwa miaka isiyozidi miwili na nusu ndiyo amekuwa expert wa historia yake?

Labda hajui power ya AI kuhusu taarifa inazoweza kukusanya, yuko busy kuleta fitina tu.
Mkikosa hoja mnasema Fitina ----- Tumeshawajua wanufaika wakuu wa hii Nchi?
 
Acha kubisha vitu husivyovijua Ndugu.........Haya niambie bei ya Gesi wanayolipa wananchi wa Russia kwa mwezi? Ikifika dola moja ya kimarekani kwa mwezi, na delete hii account ya JF?
 
Nashauri haya mazungumzo yawekwe kwenye mpangilio wa kumbukumbuku iwekwe Special Thread igongelewe na pin kabisa.
Ibaki kumbukumbu mtu akitaka kuja kuchungulia ya polepole asisakulesakule kama yupo jalalani.
 
Acha kubisha vitu husivyovijua Ndugu.........Haya niambie bei ya Gesi wanayolipa wananchi wa Russia kwa mwezi? Ikifika dola moja ya kimarekani kwa mwezi, na delete hii account ya JF?
Inazidi USD 1, kimsimgi bei ya gas per litre or and kg inaelekeana dunia nzima on average. Gas ni kama mafuta mkuu; kubishana kuhusu mafuta na gas ni kiwango kikubwa cha kutokufatilia... haujui ukishusha sana bei ya gas inaathiri Opec na mafuta yake???? Haujui mafuta na gas ni close substitute (hapa naongelea kwenye general context ya gas sio kwenye LPG vs LNG) ? Ndiyo maana hata kwenye magari bei ya gesi inaweza kuwa chini kiasi lakini ku convert kwenda kwenye gas kama gari ji ya mafuta ni expenisve kinoma na kwa nchi zetu mtu hawezi kurisk kununua gari ya gesi pekee???? Tujielimisheni huu ni Uchumi wakuu na JF inaanza kupoteza ladha kila kitu tunakiangalia kwa jicho ka siasa tuuu as if ikiingia CDM au chana kingine principle za uchumi zitabadilika...
 
Acha kubisha vitu husivyovijua Ndugu.........Haya niambie bei ya Gesi wanayolipa wananchi wa Russia kwa mwezi? Ikifika dola moja ya kimarekani kwa mwezi, na delete hii account ya JF?
Anayebisha ni Mimi au wewe? Mimi nafahamu ya Cuba kwasababu najua mazingira ya kule ukisema ya Russia Mimi simfahamu usinilazimishe nikuambie kitu nisichokijua.
 
Anayebisha ni Mimi au wewe? Mimi nafahamu ya Cuba kwasababu najua mazingira ya kule ukisema ya Russia Mimi simfahamu usinilazimishe nikuambie kitu nisichokijua.
Kwa hiyo wewe na Balozi nani anaijua Cuba vizuri?
 
Kwa hiyo wewe na Balozi nani anaijua Cuba vizuri?
Alienda Kama executive na amekaa miaka miwili tu Cuba nimekaa miaka zaidi ya 3 na project yangu ilikua mtaani sasa sijui kwanini unakaza kichwa basi fanya hata utafiti mtandao si ipo usipende kushikilia upande unaouamini hata kama hauko sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…