John Haramba
JF-Expert Member
- Feb 4, 2022
- 365
- 1,374
Mazungumzo kati ya wawakilishi wa Ukraine na Urusi kuhusu uvamizi Ukraine yameanza nchini Belarus, kabla ya mkutano kuanza, waandishi wa habari wametolewa nje.
Mwenyeji wa wageni hao ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Belarus, Vladimir Makei amewakaribisha wajumbe hao na kuwataka wajihisi wapo salama.
Mazungumzo hayo yanaendelea leo Jumatatu Februari 28, 2022.