John Haramba
JF-Expert Member
- Feb 4, 2022
- 365
- 1,374
Hahahahah unamaanisha hawataki wauane zaidi, wanawapatanisha mapema sio?Jambo la kheli lakini nimeanza kuamini hawa wazungu wanabebana sana
Hahahahah unamaanisha hawataki wauane zaidi, wanawapatanisha mapema sio?
Miguuukraine si walisema hawaendi belarus,nini kimewapeleka?
Wapo mpakani, hawajaenda capital cityukraine si walisema hawaendi belarus,nini kimewapeleka?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbona hatupati feedback kuhusu yaliyojadiliwa kwenye Kikao!?? Yaani Ukrainian na Russian wa JF mmeamua Kutuficha kweli. Wakati vikao vyote vya maanuzi na vya ndani kabisa huwa mnashiriki
Na ndiyo maana vita hii itaishia katika meza ya mazungumzo, Urusi nomaKatika hii Dunia ukiwa una miliki silaha za Nuclear, hakuna Taifa lolote duniani litakusogelea, maana bomu Moja tu pale NYC, madhara yake ni zaidi ya Miaka 50, hiki ndiyo kitu ambacho mataifa mengine yanamuogopa Mrusi...!
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app