The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Watu wengi hufikiri waliokuwa wanampinga Magufuli .. walikuwa wanampinga kila kitu au hawaoni mazuri yake ...
Ukweli ni kuwa mazuri ya Magufuli yanafahamika na yanajulikana ambayo tungependa yaendelezwe. ..
Laiti kama Yale ambayo sio mazuri yasingekuwepo kama watu kupigwa risasi
Na kupotea ..na watu kulazimishwa kumsifia...basi wengi walio mpinga wasingempinga...
Binafsi haya ningependa yaendelezwe hata kama sikuwahi kumpigia kura ..
1. Price control petroli, nauli za mabasi na kadhalika. Eneo Hilo alijitahidi sana.
2. Majambazi na uhalifu eneo Hilo pia nampa A ..
3. Inflation Kwa ujumla
4. Safari za nje zisizo na ulazima
Ingawa natamani Mama alegeze kidogo
Lakini sio level ya JK..
5. Kudhibiti Viongozi wa dini..
Kama aliwadhibiti au walimbeba
But hii adabu Kwa Rais ningependa iendelee sio waraka na matamko kama wakati wa JK..
Na mengine mengi.
Bottom line wanaompinga wengi Wana hoja hata kama mazuri mengi kafanya kama hayo na mengineyo..
Yes na hili la kupinga lockdown binafsi naona alikuwa sahihi only alikosea kupinga barakoa.