Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Yeah, gawio kama gawioFor real??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah, gawio kama gawioFor real??
Mi naamini kabisa amechukuliwa ili kupisha uchunguzi, naamini hivo.
Unaamini aliipenda Tanzania?Na miundombinu pia ana A ya 100. Na usimamizi wa kauli na maagizo yake ana A kali.
Tumeitwa wanyonge na tumenyongwa kweliHuo uchunguzi kama utafanyika kutakuwa na vilio vya kusaga meno kuhusu huyo Mzalendo FAKE.
Kipochi hiki hiki? Kipochi manyoya?Wafanyakazi wasiongezewe mishahara ili tuendelee kutesa
Bia ziendelee kushuka bei, hili nampa A+ wakati wa jk bia ilikuwa 2500 siku hizi 2000 mpaka 1700. Elfu 15 unalewa bila shida
Bei ya kipochi imebaki pale pale tangu enzi za jk 30,000 classic, kawaida 25,000-20,000
Mindombinu ipi?Na miundombinu pia ana A ya 100. Na usimamizi wa kauli na maagizo yake ana A kali.
Kipochi hiki hiki? Kipochi manyoya?
Hiyo ndio bei elekezi?
Kwanini? Ulitaka iwe bure? Hapana bana tutakosa gawio.Hahahahaha lol! Hivyo vya bei vimepoteza utamu 🤣🤣
Mfugale flyoverMindombinu ipi?
Kwanini? Ulitaka iwe bure? Hapana bana tutakosa gawio.
Ni bei reasonable ili na "wanyonge" wapateIwe ghali banaaa 30K is just so cheap hata machinga wananunua 🤣🤣🤣🤣🤣
Aliposema nanukuu,Na miundombinu pia ana A ya 100. Na usimamizi wa kauli na maagizo yake ana A kali.
Ameonesha njia na kudhubutu kupambania madini na kubadilisha baadhi ya mikataba. Kurudisha mashirika ya serikali yakiyoporwa kinyemela mfano AirtelWatu wengi hufikiri waliokuwa wanampinga Magufuli .. walikuwa wanampinga kila kitu au hawaoni mazuri yake ..
Mengine nakuunga mkono. Lakini hapo kwenye uchumi wa mtu mmoja mmoja kuwa vizuri duh! Labda umejichimbia darisalama, njoo huku vijijini uone.Naungana nawewe kwa asilimia100 mwendazake sikuwahi kumpa kula lakini katika suala la lockdown nampa congore kwa sababu ni mfupa uliowashinda maraisi wengi wa africa lakn pia imefanya uchumi wetu wa taifa na mtu mmoja mmoja kuwa vzur..
So mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
And the list goes on. Nepotism itasafishwa yote - summary to ukabila, ukanda na uswahiba.Legacy yake inaporomoka haraka sana, kusimamishwa kwa Kakoko ni salamu kubwa sana kwa the list.