Mazuri ya Magufuli ya kuendelezwa...

Mazuri ya Magufuli ya kuendelezwa...

Hayo mengine siyasemei, lakini licha ya kumkosoa kwa mambo mengi sana, hilo la ujambazi nilimsifu Magufuli tangu akiwa hai. Misitu iliyojazana majambazi iligeuka mahala salama kupita. Kongole kwake.

Mapungufu yake kwenye hilo ni ujambazi huo kuhamia kwa polisi na wasiojulikana.
 
juhudi nyingi za mwenda zake zikifanyiwa revision taifa litapiga hatua kubwa sana ndani ya muda mfupi
 
Mfugale flyover
Ubungo interchange
Viwanda 3000 (usiulize vilipo we jua tu vipo)
N.k
N.k
Hizo flyover na interchange ni Grant kutoka kwa serikali ya Japan. Hatutoi hata senti. Ziko 6 jumla na mkataba walishaini na serikali tangu JK hajaondoka.

Viwanda hivyo propaganda

Hakuna kitu, huyo aliyesema A hawezi kukuonesha miundombinu ya maana
 
Hamna mtu mbaya wala nzuri but yaliyo Mabaya yakiwa mengi kuliko mema tunakuchukuliankama mbaya.
 
Kauli za kumzuia CAG ili asikague ATCL ili afiche UOZO uliokithiri ATCL!? [emoji15][emoji15][emoji15]
Kama kawaida yako mzee wa kupinga kila kitu umekuja[emoji28]
 
Umelipwa kiasi gani kuja kufanya hii kampeni
 
Dead and buried with his legacy of "stand za mabasi"and the rise and fall of Chatoville
 
The rise and fall of Gbadolite in Tanzania....

Ile kitu ilikua ni laana kwa nchi hii
 
Back
Top Bottom