Mazuri ya Magufuli ya kuendelezwa...

Kwenye swala la dini kuzifanya ziwe ni Pacha!! hapo nampa 1000 hayo ndio ya Maana kuliko umaana wenyewe
 
Legacy yake inaporomoka haraka sana, kusimamishwa kwa Kakoko ni salamu kubwa sana kwa the list.
 
Kutakua na ufisadi mkubwa sana haujawahi kutokea na ni kipindi cha Upinzani kucheka na kufurahi maana ajenda ya ufisadi, wizi, ukatili vitawaliza wengi. Nisalikmieni Musiba
 
Wafanyakazi wasiongezewe mishahara ili tuendelee kutesa

Bia ziendelee kushuka bei, hili nampa A+ wakati wa jk bia ilikuwa 2500 siku hizi 2000 mpaka 1700. Elfu 15 unalewa bila shida

Bei ya kipochi imebaki pale pale tangu enzi za jk 30,000 classic, kawaida 25,000-20,000
 
Kipochi hiki hiki? Kipochi manyoya?
Hiyo ndio bei elekezi?
 
Reactions: BAK
Watu wengi hufikiri waliokuwa wanampinga Magufuli .. walikuwa wanampinga kila kitu au hawaoni mazuri yake ..
Ameonesha njia na kudhubutu kupambania madini na kubadilisha baadhi ya mikataba. Kurudisha mashirika ya serikali yakiyoporwa kinyemela mfano Airtel
 
Mengine nakuunga mkono. Lakini hapo kwenye uchumi wa mtu mmoja mmoja kuwa vizuri duh! Labda umejichimbia darisalama, njoo huku vijijini uone.

Nipo kijijini, lakini kuna watu wengi ('wanyonge') nimewashuhudia wakinywa pombe kusherehekea kifo cha Hayati Magufuli kutokana na ugumu wa maisha. Tafakari.
 
Legacy yake inaporomoka haraka sana, kusimamishwa kwa Kakoko ni salamu kubwa sana kwa the list.
And the list goes on. Nepotism itasafishwa yote - summary to ukabila, ukanda na uswahiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…