Mazuzu Mkutanoni wametajiwa Kocha Mpya na Kusahau Kuuliza Maswali na Kuhoji Kupigwa Fedha nyingi

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Injinia una Akili sana yaani ulianza Kwanza kwa Kuwadanganya kuwa mmepata Faida ya Tsh Bilioni 17 na kwamba kwa Msimu ujao mtatumia Tsh Bilioni 20 na ulivyoona hujaeleweka na Wanajipanga Kukuhoji ukaona isiwe taabu.

Mazuzu waliojazana Kukusikiliza Ukiwaokota ( Ukiwadanganya ) hawakujua kuwa Wewe ni Mtoto wa Mjini tena Kariakoo ambako ili Kuwafunga kabisa Mdomo na wasihoji Mambo mengi ya Kimsingi ukaamua Kukonga Nyoyo zao na Kuwatajia Kocha Mbovu kuliko Wote kuwqhi kutokea Mafurikoni Vyura SC.
 
hapana hatujapigwa
 
Duuuh kwa stahili hii bandari zitauzwa sana🤔🤔🤔
 
Nimecheka sana aisee
Kwamba popoma ndo mshauri mkuu wa familia
Kama hivyo ndiyo wote ni wehu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanga itatumia Billion 20 kwa msimu mmoja, wakati huohuo Mwamedi ametumia Billion 20 za maandishi ( siyo cash) kuinunuwa Simba milele.

Yani mkataba wa Mwamedi na Simba sioni tofauti yoyote na mkataba ule wa bandari na DP.
 

Kesho mtauliza bil 2 mbili zipo wapi, wakati huo mfano wa check hauonyeshi zimewekwa wapi.
 
Injinia kwao ni Kinondoni Mkwajuni.. hiyo kariakoo labda ya kwenu huko bunda vijijini murutunguru unapoishi wewe.. wacha kujifanya mjuaji wakati hujui chochote
 
Moja ya dalili ya mapema ya kumjua mtu mwenye tatizo kichwani ni kuhisi anajua kila kitu kuliko kila mtu anae mzunguka. Jf Doctors please anzeni kumu attend huyu mjomba kabla kesi haijawa critical
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…