kibla matata
JF-Expert Member
- Mar 3, 2020
- 412
- 380
- Thread starter
- #21
Na kwa mb dog hivyo hivyo hits zinahesabika sagabraha si ulinambiaAcha kumfananisha Mb Doggy na Z. Anto.
Mb Doggy ana HITS nyingi sana kuliko Z. Anto.
( Sidhani kama mtu hajawahi kutumia ngoma zake kama Dedication kwenye mapenzi ).
Mb Doggy Pia amewahi kuwa kwenye PEAK kama ilivyo kwa Juma Nature, AliKiba au Diamond wakati Z. Anto Hajawahi.
Binafsi Ngoma za Z. Anto ninazozikubali ni Kisiwa Cha MalaviDavi, Mpenzi Jini, Binti Kiziwi na Disco Vumbi wakati kwa Mb Doggy HITS zake utachoka kuhesabu.