Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Halafu huyo Z anto alikopi kila kitu kutoka kwa MB DoggyAcha kumfananisha Mb Doggy na Z. Anto.
Mb Doggy ana HITS nyingi sana kuliko Z. Anto.
( Sidhani kama mtu hajawahi kutumia ngoma zake kama Dedication kwenye mapenzi ).
Mb Doggy Pia amewahi kuwa kwenye PEAK kama ilivyo kwa Juma Nature, AliKiba au Diamond wakati Z. Anto Hajawahi.
Binafsi Ngoma za Z. Anto ninazozikubali ni Kisiwa Cha MalaviDavi, Mpenzi Jini, Binti Kiziwi na Disco Vumbi wakati kwa Mb Doggy HITS zake utachoka kuhesabu.
Sent using Jamii Forums mobile app