kibla matata
JF-Expert Member
- Mar 3, 2020
- 412
- 380
- Thread starter
-
- #21
Na kwa mb dog hivyo hivyo hits zinahesabika sagabraha si ulinambiaAcha kumfananisha Mb Doggy na Z. Anto.
Mb Doggy ana HITS nyingi sana kuliko Z. Anto.
( Sidhani kama mtu hajawahi kutumia ngoma zake kama Dedication kwenye mapenzi ).
Mb Doggy Pia amewahi kuwa kwenye PEAK kama ilivyo kwa Juma Nature, AliKiba au Diamond wakati Z. Anto Hajawahi.
Binafsi Ngoma za Z. Anto ninazozikubali ni Kisiwa Cha MalaviDavi, Mpenzi Jini, Binti Kiziwi na Disco Vumbi wakati kwa Mb Doggy HITS zake utachoka kuhesabu.
In general doggy anamuacha mbali huyo binti kiziwi kwa idadi ya hit songs alafu doggy amekaa kwenye game muda ukicompare na huyo jini, ni kama alikuja na upepo wa ngoma zake tatu akajifia zake😅Binti kiziwi unaonaje mkuu
We mzee wewee😤, dogy huyu huyuuu?Na kwa mb dog hivyo hivyo hits zinahesabika sagabraha si ulinambia
Samahani wakuu naomba kuuliza eti mb doggy na sogy doggy ni ndugu wa kuzaliwa pamoja
Ndio mkuu ni watoto wa mzee snoop dog dog ambaye aliwatelekeza na kutorokea kwa akina trump huko miaka mingi iliyopitaSamahani wakuu naomba kuuliza eti mb doggy na sogy doggy ni ndugu wa kuzaliwa pamoja
nadhani ni 2006/20072003/2004 sio sahihi.
Mwaka gani kumbukumbu2003/2004 sio sahihi.
Ndio, ndugu yao alikimbilia siku nyingi huko Mbele states, anaitwa Snoop DoggySamahani wakuu naomba kuuliza eti mb doggy na sogy doggy ni ndugu wa kuzaliwa pamoja
Acha utani weweNdio, ndugu yao alikimbilia siku nyingi huko Mbele states, anaitwa Snoop Doggy
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hao watu bado wapogo?
Kassim Mganga umlinganishe na Z anto ?Mkali wa awena hafiki level za kina z.anto ni kumkosea heshima z