MB Dogg vs Z. Anto

Halafu huyo Z anto alikopi kila kitu kutoka kwa MB Doggy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mziki ni kuanzia 2013 kwenda Mbele huko nyuma hamna mziki ni Mashudu tu. Manyiiimbo marefuuuuu unasikiliza nyimbo Kama unasikiliza matangazo ya Vifo.

Alafu Yaaani kweli kabisa msanii unajiita Mb Doggy? Hivi walikuwa hawana advisors? Kuna mwengine naskia alikuwa anaitwa Bushoke. SMH 🤦‍♂️
 
Madee alitembea sana mle,


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muziki mzuri ulisikika miaka ya 2004_2007 hii miziki ya sasa ni uchafu
 
Sina uhakika sana ila nafkir Z anto ame hit sambamba na marlaw wala s Mb dog, Mb dog amewatangulia sana ngoma kama ratifa n ya kitambo na alikua anatoa hit back 2 back, labda ngoma yake ya sabrasha ndo imetoka teyar z anto anaskika. Kwa upande wa nan mkali, Mb dog alitishaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Z anto na Mb Dogg wote wakali ila Mb Dogg mkali zaidi pia mziki wakati huo mzki ulikuwa mkali sana, ila hapo kwenye 2003/2004 umezingua
 
Mb dog haikuwa back to back sababu ilitoka albamu nakumbuka nilinunua tape kwa 1200 kipindi hicho..kuna kipindi z.anto aliisimamisha game ya bongo na alikuwa top
 
Thread closed!


Mb Doggy babaaa! Umepita bila kupingwa😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…