MB Dogg vs Z. Anto

Watoto waliozaliwa enzi za Mkwere utawajua tu[emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nachokumbuka Mb Dogg ametoka kipindi niko form 3 miaka ya 2004, ngoma yake ya Latifa ilifanya mapinduzi makubwa kwenye game hadi wasanii wengi wakatamani kujaribu kuimba, wakati huo wasanii wengi wa bongofleva walikuwa wanarap, waliokuwa wanaimba ni wa kuhesabika kama kina TID,Mr.Paul,Dully,Lady JD, Mr Nice na wengine wachache. Latifa ilikimbiza kwa karibu miaka miwili hakukuwa na hit kubwa kuishinda, MB Dogg ameinspire wasanii wengi kuimba ikiwemo na huyo Z Anto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatari sana mkuu, hata kwenye Latifa napo Madee alitembea vizuri.
Nakumbuka pale anamalizia kwa kuimba "wewe ni wangu sina habari na machangu" kisha Mb Dog analalamika "kwa lolote nitakufanyia".

Madee siku hizi sijui kawaje,, hawa jamaa inabidi siku moja watoe ngoma pamoja,

Madee mtoto wa manzese yule anajua sana,, Mb dogg sijui kwa nn kawa kimyaa sana,, Dogg man katika ubora wake hao akina Diamond na Kiba wanapotea kabisa
 
Ndo yale yale ya Kumfananisha King Kiba na Diamond Wakati Ali kiba ni Mfalme wa huu Mziki.Yaani Alikiba ni G.O.A.T wa huu Mziki wa Bongo Fleva

Kama haujui Maana G.O.AT Usije hapa kushupaza shingo kama unakata gogo la ugali wa Mtama..
 
Mziki ni kuanzia 2013 kwenda Mbele huko nyuma hamna mziki ni Mashudu tu. Manyiiimbo marefuuuuu unasikiliza nyimbo Kama unasikiliza matangazo ya Vifo.

Ha ha ha, aisee.

Kuna mwengine naskia alikuwa anaitwa Bushoke. SMH 🤦‍♂️

Unatakiwa ujue kwamba Bushoke ni jina lake halisi, neno bushoke limetoholewa kutokana na jina lake kwa kuimba wimbo wa mume bwege.
 
Ndo yale yale ya Kumfananisha King Kiba na Diamond Wakati Ali kiba ni Mfalme wa huu Mziki.Yaani Alikiba ni G.O.A.T wa huu Mziki wa Bongo Fleva

Kama haujui Maana G.O.AT Usije hapa kushupaza shingo kama unakata gogo la ugali wa Mtama..
Acha unafiki husikilazagi ngoma za diamond
 
hivi mkuu ww ndo nilikupora Latifa 2013? nisamehe mkuu, ni moyo tu
ndio mkuu ni mimi, vipi unazingatia dozi lakini ? maana niliungua kitambo nikamuambukiza na Latifa ndio maana siku ananiacha nilimsihi sana tubaki tumalize siku zetu hapa duniani pamoja ila akakataa na mimi sikuweza kumwambia nimeungua so hii kauli alidhani ni ya mahaba
 
Labda umuoneshe dozi unayotumia[emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…