Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
5G wameanza lini kutumia? Unaifahamu 5G au unaisikia tu ukikaa kijiweni?Sio kweli, acheni upotoshaji, tigo wako faster ktk MB zao kwa sababu wanatumia 5 G, hiyo ndio sababu, sababu nyingine ni upotoshaji t
Sio kweli, acheni upotoshaji, tigo wako faster ktk MB zao kwa sababu wanatumia 5 G, hiyo ndio sababu, sababu nyingine ni upotoshaji t
hata kwangu dah wanazingua.Mambo vipi wadau, MB za tigo zinayeyuka sana. Kitendo cha kuunga bando tu, baada ya dakika chache wanakutumia ujumbe umetumia 75% ya kifurushi chako!
Hivi ni kwangu mimi tu au ni kwa wote?
Tena wanazingua haswaa sio kidogohata kwangu dah wanazingua.
Tigo ni washenzi, tena siyo MB tuu hata dakika yaani mimi nishaachana naoMambo vipi wadau, MB za tigo zinayeyuka sana. Kitendo cha kuunga bando tu, baada ya dakika chache wanakutumia ujumbe umetumia 75% ya kifurushi chako!
Hivi ni kwangu mimi tu au ni kwa wote?
Hiyo 5g ipo kwako auSio kweli, acheni upotoshaji, tigo wako faster ktk MB zao kwa sababu wanatumia 5 G, hiyo ndio sababu, sababu nyingine ni upotoshaji t
[emoji23][emoji23]Za Airtel ni balaa.
Jana nilinunua bundle la data la sh. 15,000 leo limeisha
[emoji23][emoji23]Nilitaka nihame voda kwenda airtel, aisee hata siku haikuisha nilirudi kimyakimya bila hata malalamiko nilipotoka- bundle nimejiunga hata 10 minutes hazijapita natumiwa msg limekaribia kuisha na msg kibao kama ugomvi
Mwanzo walikua vzr t sjui nin kimewakutaTigo ni washenzi, tena siyo MB tuu hata dakika yaani mimi nishaachana nao
Tokea walivofanya maboresho ndiyo wamekuwa ni washenzi washenzi hiviMwanzo walikua vzr t sjui nin kimewakuta
Ni kwel tangu wafanye maboresho wamekua wezi balaaTokea walivofanya maboresho ndiyo wamekuwa ni washenzi washenzi hivi