MB za Tigo zinakimbia sana au ni kwangu tu?

MB za Tigo zinakimbia sana au ni kwangu tu?

Sio kweli, acheni upotoshaji, tigo wako faster ktk MB zao kwa sababu wanatumia 5 G, hiyo ndio sababu, sababu nyingine ni upotoshaji t

Kama kitu hukijui ni heri ukae kimya kuliko kujiaibisha namna hii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti wanatumia Faivu jiii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwa taarifa yako hata hiyo 4G hawana wana 3.75G
 
Mambo vipi wadau, MB za tigo zinayeyuka sana. Kitendo cha kuunga bando tu, baada ya dakika chache wanakutumia ujumbe umetumia 75% ya kifurushi chako!

Hivi ni kwangu mimi tu au ni kwa wote?
hata kwangu dah wanazingua.
 
Mambo vipi wadau, MB za tigo zinayeyuka sana. Kitendo cha kuunga bando tu, baada ya dakika chache wanakutumia ujumbe umetumia 75% ya kifurushi chako!

Hivi ni kwangu mimi tu au ni kwa wote?
Tigo ni washenzi, tena siyo MB tuu hata dakika yaani mimi nishaachana nao
 
Back
Top Bottom