MB za Tigo zinakimbia sana au ni kwangu tu?

Mambo vipi wadau, MB za tigo zinayeyuka sana. Kitendo cha kuunga bando tu, baada ya dakika chache wanakutumia ujumbe umetumia 75% ya kifurushi chako! Hivi ni kwangu mimi tu au ni kwa wote?
Chukua hii facts.
TTCL wanauza MB bei sana,sema hawakuibii hata punje.
GB 01 ya TIGO ni sawa na MB 600 za TTCL,......unajua hii mitandao ya simu,inatoa fungu kubwa kwa wakubwa,sasa huduma zote zinazoonekana ni luxury hesabu maumivu.
Chaguo ni lako,binafsi zina ulimbukeni wa kun'gan'gania mitandao,naishi kwa facts tu
 
Nakubaliana na ww yaani saiv GB 1 ya tigo si lolote inaisha fasta tu
 
Tigo na airtel wanaiba bundle bila hata kuona aibu, at least voda naridhika ingawa bado nao maumivu yapo tunavumilia tu
 
-
Mambo vipi wadau, MB za tigo zinayeyuka sana. Kitendo cha kuunga bando tu, baada ya dakika chache wanakutumia ujumbe umetumia 75% ya kifurushi chako! Hivi ni kwangu mimi tu au ni kwa wote?
Sio tigo tu

Airtel kiboko yao zinaseleleka yaan usipakue kitu tu hio hapo meseji umetumia 75% ya MB zako 850, ukiingia insta umekwesha jioni haifiki umetumia 100% ya MB zako
 
Sio kweli, acheni upotoshaji, tigo wako faster ktk MB zao kwa sababu wanatumia 5 G, hiyo ndio sababu, sababu nyingine ni upotoshaji t
Wako fasta kwenye kunyonya mb t mbn kwenye ku download data yao haiko fasta kiivo kama unavyosema wew
 
Sio tigo tu

Airtel kiboko yao zinaseleleka yaan usipakue kitu tu hio hapo meseji umetumia 75% ya MB zako 850, ukiingia insta umekwesha jioni haifiki umetumia 100% ya MB zako
Nilitaka nihame voda kwenda airtel, aisee hata siku haikuisha nilirudi kimyakimya bila hata malalamiko nilipotoka- bundle nimejiunga hata 10 minutes hazijapita natumiwa msg limekaribia kuisha na msg kibao kama ugomvi
 
Daaah yaaan me mwez ulopita nakumbuka nilikua nikiunga mb za buku kwa tigo navuuka nazo mpk siku ya pili ila sas haifiki ata nusu siku naambiwa mb zimeisha
 
Nilitaka nihame voda kwenda airtel, aisee hata siku haikuisha nilirudi kimyakimya bila hata malalamiko nilipotoka- bundle nimejiunga hata 10 minutes hazijapita natumiwa msg limekaribia kuisha na msg kibao kama ugomvi
Halotel pekee ndio ndio nahisi bundle lake hua haliishi haraka hadi kuna wakati nikawa najiuliza hua wananiongezea bundle nini, nikijiunga wiki inaenda hadi siku 5 au 6 ndio ile meseji yao ya 'umetumia 75%' inakuja
 
Sio kweli, acheni upotoshaji, tigo wako faster ktk MB zao kwa sababu wanatumia 5 G, hiyo ndio sababu, sababu nyingine ni upotoshaji t
Hakuna 5G tanzania kaka tunaishia 4G pekee na yenyewe sio maeneo yote ya nchi
 
Back
Top Bottom