Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
pole ndugu. Angalia na aina ya mafuta ya nywele unayotumia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi wadau mba ni nini? Kitu gani husababisha mba za kichwani? Mfano mimi nina nywele fupi na ninajitahidi sana usafi lakini bado mba wananisumbua na kichwa huwa kinaniwasha nikijikuna na kitana unabaki ungaunga unaoashiria ni mba..je nifanye nini?
Mba ni fangasi za kichwani iliyodumu kwa muda mrefu mkuu,(chronic fungal infection-tinea capitis)Hivi wadau mba ni nini? Kitu gani husababisha mba za kichwani? Mfano mimi nina nywele fupi na ninajitahidi sana usafi lakini bado mba wananisumbua na kichwa huwa kinaniwasha nikijikuna na kitana unabaki ungaunga unaoashiria ni mba..je nifanye nini?
Na mimi pia ninashukuru kwa kutuletea shukrani kwako usikose na kuweka (like) ninakuongezea dawa nyingine ya Mba mkuu Pumb Mba hutokana na ngozi iliyokufa katika kichwa yaani dead cell.Dawa zilizopo ni :Nawashukuru sana wadau wote mliochangia, naomba muda niufanyie kazi ushauri wenu, nitawapa matokeo. God bless u all!
Ndugu yangu nashukuru sana kuna mabadiliko makubwa. kitunguu thaumu na siki ya tufaa imesaidia sana.