Mba kichwani (Dandruff): Fahamu Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

Mba kichwani (Dandruff): Fahamu Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

Wewe ulitumia kwa muda gani

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi tatizo langu lilikuwa sugu, nimekuwa nalo tangu mwaka 1988. Nilitumia kwa muda wa miezi sita ndipo walau nikapata nafuu kidogo. Ila kama wewe tatizo lako sio la muda mrefu nenda kwa Prof Mgonda atalimaliza haraka sana.
 
Sema mie naishi mbeya,na tatizo lilianza 2007

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu, dawa za ukweli za mba ni hizo nilizoweka hapo juu: Terbifin na Beprosalic ointment. Baada ya kusumbuka kwa miaka mingi, dawa hizo zilinipa suluhisho.
Sh ngapi ulizinunua?
 
IMG_4755.jpg

Kwangu nilizimaliza na hiyo dawa nilipewa Kairuki Hosp ila pharmacy kidonge ni 1500
 
Habari zenu wandugu JF, poleni kwa uchovu wa siku mpya ya maombolezo!

Naomba kwenda moja kwa moja kwenye jambo langu, nasumbuliwa sana na mba kichwani ambao unatoka kma ungaunga kila napochana nywele, sasa hvi imefikia kiasi kwamba nikichana tu unamwagika nakuwa kama nimemwagiwa poda au sembe kichwani.

Tatizo hili ni la muda kidogo na linanifanya niwe nanyoa kila baada ya mwezi.

Note: Nikipaka mafuta mikono yote siku hiyo inahamia kichwani kwa kujikuna.
 
Osha kichwa chako kwa sabuni ya UNGA YA OMO mara tatu kwa week mbona watatubu.
 
Mimi nilisumbuliwa sana na mba, kuna mtu aliniuzia dawa nikawa naitumia kupaka kichwani sasa nimepona

Tatizo la dawa za mba inaweza ikatibu kwangu kwako isitibu.
 
Back
Top Bottom