Mbabe aache Ujinga wa kuishi kwenye Kivuli cha Ronaldo Christian. Ni Utoto

Kuna ubaya gani kuiga mazuri na kufanikisha mazuri na kufanikiwa kimaisha..!! Ingekuwa ni mabaya, kuiga haifai, If Mbappe kaona Ronaldo ndio model wake wa kuiga haina tatizo kabisa, mbona wengine hata kuiga tu kucheza vizuri hawawezi, kuiga pia kunataka talent, so Mbappe is very talented player, hana kama ka copy playing style but hiyo haiondoi kuwa hana talent..!!

Wewe una chuki zako na Mbappe tu, huna point yoyote..!!
 
Kweli kabisa
 
Kwa haraka haraka, muandishi hana shida na Mbappe, ila ana matatizo na Cr7
 
Blaza wewe unaumia mtu kumuiga mwenzie sisi tunaumia wewe kukosea jina la mtu. Ngoma droo
 
Daah mkuu utakua na matatizo aseeh. Kwa kuna mtu ana copy rights ya hizo moves kwa sababu hata kabla ya Ronaldo zimepigwa sana na kina Gaucho, Okocha n.k

After all Mbappe ni fanboy wa Ronaldo what is the problem?
 
Back
Top Bottom