Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Huyu dogo kama fala.... Sijui hawamwambii? Kuwa sasa amekua aache ujinga.
View: https://www.instagram.com/reel/DAFMY5BsQTm/?igsh=NnhwZGpqdmRtM3Q3
Mi naona poa tu. Hata January Makamba anapenda kujifananisha sana na Obama ingawa Sina uhakika kama anaweza kuwa Rais kama Obama.