Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Ataiga hzo low skills ila za mtu Messi hawezi na hatawezaHuyu dogo kama fala.... Sijui hawamwambii? Kuwa sasa amekua aache ujinga.
View: https://www.instagram.com/reel/DAFMY5BsQTm/?igsh=NnhwZGpqdmRtM3Q3
Kweli kabisaKuna ubaya gani kuiga mazuri na kufanikisha mazuri na kufanikiwa kimaisha..!! Ingekuwa ni mabaya, kuiga haifai, If Mbappe kaona Ronaldo ndio model wake wa kuiga haina tatizo kabisa, mbona wengine hata kuiga tu kucheza vizuri hawawezi, kuiga pia kunataka talent, so Mbappe is very talented player, hana kama ka copy playing style but hiyo haiondoi kuwa hana talent..!!
Wewe una chuki zako na Mbappe tu, huna point yoyote..!!
ujinga wa mbape umemfanya anapata bilion 1 kwa wiki pesa ambayo ww na ukoo wako wote toka karne ya 1 hamuwezi kuipata kwa wiki1Huyu dogo kama fala.... Sijui hawamwambii? Kuwa sasa amekua aache ujinga.
View: https://www.instagram.com/reel/DAFMY5BsQTm/?igsh=NnhwZGpqdmRtM3Q3
Kwa haraka haraka, muandishi hana shida na Mbappe, ila ana matatizo na Cr7Kuna ubaya gani kuiga mazuri na kufanikisha mazuri na kufanikiwa kimaisha..!! Ingekuwa ni mabaya, kuiga haifai, If Mbappe kaona Ronaldo ndio model wake wa kuiga haina tatizo kabisa, mbona wengine hata kuiga tu kucheza vizuri hawawezi, kuiga pia kunataka talent, so Mbappe is very talented player, hana kama ka copy playing style but hiyo haiondoi kuwa hana talent..!!
Wewe una chuki zako na Mbappe tu, huna point yoyote..!!
Kuiga jambo jema sio kosaHuyu dogo kama fala.... Sijui hawamwambii? Kuwa sasa amekua aache ujinga.
View: https://www.instagram.com/reel/DAFMY5BsQTm/?igsh=NnhwZGpqdmRtM3Q3