Mbabe wa barabarani, wengine ni hamna kitu

Hamna gari hapo
 

Labda kidogo bike za mzungu ila siyo hizi fekon.
 
Nyie hangaikeni na hizo fuga. Ila ukitaka kuwahi na kuwa na unyama mwingi njiani hii ndio itakuwa baba lao. Kibao cha hamsini hii unaingia na 160kph kama mweweView attachment 2026295
Nilipoiona hii gari, niliizunguka kama mara tatu.. sikufanikiwa kuingia ndani yake maana aliyekuja nayo hakuepo!

Kwa muonekano wa nje, J200 VX inamuonekano mzuri sana kuliko hiyo!

Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
 
mnajifichia kwenye rough road tu eeh.. kwenye mkeka vipi 😎😎

Hayo mi cjui bro,,,lakini mjapan mpeleke popote pale iwe rough road, Lami, inaenda tuuu. Gari ambayo naipenda pia Land rover defender (TDI) Huyu ata kwenye tope anapita, ni gari moja ngumu mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…