establishment
JF-Expert Member
- Jun 27, 2015
- 1,632
- 2,435
Hamna gari hapoUzalishaji wake ulianza 2005 Hadi 2009 si mwingine mbali ni mnyama wa barabarani nissani fuga GT 450 popote apitapo maajabu yake yanasimuliwa mpaka Kwa majirani huku kukiwa na matokeo matatu
GT 250
GT 350
GT 450
Ukilipata hili GT 450 sports version vita yake si ya kitoto barabarani
View attachment 2029269