Mbabe wa barabarani, wengine ni hamna kitu

Mbabe wa barabarani, wengine ni hamna kitu

Uzalishaji wake ulianza 2005 Hadi 2009 si mwingine mbali ni mnyama wa barabarani nissani fuga GT 450 popote apitapo maajabu yake yanasimuliwa mpaka Kwa majirani huku kukiwa na matokeo matatu
GT 250
GT 350
GT 450
Ukilipata hili GT 450 sports version vita yake si ya kitoto barabarani

View attachment 2029269
Hamna gari hapo
 
Leta ambayo nibsedani ambayo ina 4500cc
Vipi hii?

77CFF2B3-5DE3-4BA0-932A-99482AA625CF.jpeg


D410D534-806A-474D-A501-2D66CB512D2F.jpeg
 
Kwenye ligi za hapa bongo cha muhimu ni dereva wa chombo cha moto, hata uwe na BMW sijui twin turbo cc 9000. ukikutana na dereva wa bodaboda halafu kapiga k vant au kiwingu cha kutosha ukianza naye ligi yeye hana cha kupoteza ni mwendo wa mbwa atakupita kama umesimama🐒

Labda kidogo bike za mzungu ila siyo hizi fekon.
 
Nyie hangaikeni na hizo fuga. Ila ukitaka kuwahi na kuwa na unyama mwingi njiani hii ndio itakuwa baba lao. Kibao cha hamsini hii unaingia na 160kph kama mweweView attachment 2026295
Nilipoiona hii gari, niliizunguka kama mara tatu.. sikufanikiwa kuingia ndani yake maana aliyekuja nayo hakuepo!

Kwa muonekano wa nje, J200 VX inamuonekano mzuri sana kuliko hiyo!

Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
 
mnajifichia kwenye rough road tu eeh.. kwenye mkeka vipi 😎😎

Hayo mi cjui bro,,,lakini mjapan mpeleke popote pale iwe rough road, Lami, inaenda tuuu. Gari ambayo naipenda pia Land rover defender (TDI) Huyu ata kwenye tope anapita, ni gari moja ngumu mno.
 
Back
Top Bottom