Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toa code upewe majibu
7 Series 7H66Toa code upewe majibu
Hizo hawahangaiki nazo, maana ukisimamisha 10, utakuta 8 ni za wakubwa. Kwa hiyo wanaona bora wapite tu kuliko kusumbua watawala.Certified 😎 hizo askari wanakaa pembeni na kukupa go ahead tu😅
Ready to eat this alive
Hii kitu ni moto. BMW yuko vizuri katika exterior design, tech na performance
Nyie bado sanaaa... hapa muunganishe labisa nguvu bado mtachapwaaReady to eat this alive
View attachment 2026332
Huu uzi hujautendea haki kabisa kwa kutokuweka picha!Uzalishaji wake ulianza 2005 Hadi 2009 si mwingine mbali ni mnyama WA barabarani nissani fuga GT 450 popote apitapo maajabu yake yanasimuliwa mpaka Kwa majirani huku kukiwa na matokeo matatu
GT 250
GT 350
GT 450
Ukilipata hili GT 450 sports version vita yake si ya kitoto barabarani
Ukiwa na 250hp na top speed ya 260kph upo juu ya magari almost 90% ya Tz.335HP za mzungu, Fuga anaweka wapi hapo mguuu ? hapa bongo ukiwa na mdudu anacheua hizo 335HP unakuwa mbabe sanaa tu hasa kisaani kinaenda hadi 280kmh
Overkill hiyo.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Lockheed Martin eeh! Nataka chombo ya mzungu ina 6 cyl, cc kuanzia 3000+, plus twin turbo mzeee
Muonekano mzuri.View attachment 2026291
Anakuja kumlamba lolo F30 mapema mno[emoji28]
No huyo ni 2.0L turbocharged mzee 😅Muonekano mzuri.
Ila ukiambiwa engine capacity vs power output.
Unaona ni wastage of resources.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ndio ukweli halisi yani😅 kibongo bongo 2GR tu yenye 310HP kwenye Crown inaweza kusumbua kuliko kawaida! Japo ina 180KPH ukiipata kwenye Lexus yenye 260 KPH ni nyoko!Ukiwa na 250hp na top speed ya 260kph upo juu ya magari almost 90% ya Tz.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeona kuna baadhi ya 3 series zina 3L, Twin Turbo... akili yangu inavutika kwa BMW sana sasa najua hapo njiani afe kipa afe beki huniachi kizembe labda niamue kukuachiaOverkill hiyo.
3L twin turbo za BMWs za kuanzia 2020 zinakupa 510hp nguvu hata LC300 haipati.
Unaipata kwenye M3 Comp, M4 Comp, X4M Comp.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ningekuwa nazipenda gari za chinichini ningeifikiria BMW M 140i xDrive.Nimeona kuna baadhi ya 3 series zina 3L, Twin Turbo... akili yangu inavutika kwa BMW sana sasa najua hapo njiani afe kipa afe beki huniachi kizembe labda niamue kukuachia
Kipo vizuri sana, gari za chini zina mateso yake kwa mazingira yetu basi tu wengine mapenziNingekuwa nazipenda gari za chinichini ningeifikiria BMW M 140i xDrive.
Nakipenda sana haka kadude.
Sent using Jamii Forums mobile app
Heheheh nikiwa humu utaelewa kilichomtoa kanga manyoya😅Nimeona kuna baadhi ya 3 series zina 3L, Twin Turbo... akili yangu inavutika kwa BMW sana sasa najua hapo njiani afe kipa afe beki huniachi kizembe labda niamue kukuachia
Kuanzia 35i, 40i na kuendelea ni 3L.Nimeona kuna baadhi ya 3 series zina 3L, Twin Turbo... akili yangu inavutika kwa BMW sana sasa najua hapo njiani afe kipa afe beki huniachi kizembe labda niamue kukuachia
Ili msilie lie sana nakupa huyuHeheheh nikiwa humu utaelewa kilichomtoa kanga manyoya😅
View attachment 2026418View attachment 2026419View attachment 2026420