Mbabe wa barabarani, wengine ni hamna kitu

Mbabe wa barabarani, wengine ni hamna kitu

View attachment 2026291
Anakuja kumlamba lolo F30 mapema mno😅
Hapa hamsogezi pua
76453258-6641-41DA-BCF3-485FECF39D25.jpeg
2E322D27-E97E-4FC6-AF5D-9D20EAD72C05.jpeg
 
Uzalishaji wake ulianza 2005 Hadi 2009 si mwingine mbali ni mnyama WA barabarani nissani fuga GT 450 popote apitapo maajabu yake yanasimuliwa mpaka Kwa majirani huku kukiwa na matokeo matatu
GT 250
GT 350
GT 450
Ukilipata hili GT 450 sports version vita yake si ya kitoto barabarani
Huu uzi hujautendea haki kabisa kwa kutokuweka picha!
 
Overkill hiyo.

3L twin turbo za BMWs za kuanzia 2020 zinakupa 510hp nguvu hata LC300 haipati.

Unaipata kwenye M3 Comp, M4 Comp, X4M Comp.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeona kuna baadhi ya 3 series zina 3L, Twin Turbo... akili yangu inavutika kwa BMW sana sasa najua hapo njiani afe kipa afe beki huniachi kizembe labda niamue kukuachia
 
Back
Top Bottom