Mbabe wa dunia yote US atuma meli za kivita 2 huko Taiwan. Ole wake mtu akohoe cha moto atakiona

Mbabe wa dunia yote US atuma meli za kivita 2 huko Taiwan. Ole wake mtu akohoe cha moto atakiona

Poker

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Posts
5,445
Reaction score
14,828
Mbabe wa dunia yote nchi kubwa inayoogopeka na kila nchi duniani imetu.a meli 2 za kivita huko Taiwan. Na katika ujumbe wao wameonya ole wao China ijaribu kurusha kombora wataita maji mma!

Na wamesema watazidi kuleta vifaa zaidi ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kuipoteza china kwenye uso wa dunia. Hongereni sana marekani dunia inawategemea kutukomboa!

Screenshot_20220828-123501.jpg
 
Mchina na mMarekani wamekabiliana huko Korea (1950's). mMarekani aliambiwa na mChina asivuke kaskazini kukaribia mpaka wa China na Korea. Amerika ilivuka, China ikampiga Mwamerika akarudishwa nyuma.

Ndio wakakubaliana kuweka ule mpaka wa msitari kufuata 'latitude' unaotenganisha Korea mbili mpaka leo.

Ushindi wa waKomunisti huko Vietnam dhidi ya America na vibaraka wake ni kwa msaada wa China. OK USA ni super power, lakini hawawezi kufanikiwa kutesa nchi nyingine daima. Hata Afghanistan walishindwa na Taliban- China itakuwaje?
 
Mchina na mMarekani wamekabiliana huko Korea (1950's). mMarekani aliambiwa na mChina asivuke kaskazini kukaribia mpaka wa China na Korea...
Wakumbushe marekani na waasi wa Cuba walivyochakazwa na Castrol wakati wa uvamizi bay of pigs Cuba.
 
Mbabe wa dunia yote nchi kubwa inayoogopeka na kila nchi duniani imetu.a meli 2 za kivita huko Taiwan. Na katika ujumbe wao wameonya ole wao China ijaribu kurusha kombora wataita maji mma!

Na wamesema watazidi kuleta vifaa zaidi ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kuipoteza china kwenye uso wa dunia. Hongereni sana marekani dunia inawategemea kutukomboa!

View attachment 2337238
Mbona hajatuma hizo Meli Ukraine?
 
Marekani imeripotiwa kusogeza meli zake mbili za kivita karibu kabisa na kisiwa cha Taiwan. Hatua hii inajitokeza baada ya majuma kadhaa kupita tangu spika wa bunge la marekani kutembelea nchi iyo!
 
Mmarekani ni mchokozi kweli na kwa nini hawataki kutumia diplomasia kumaliza hayo matatizo wao vita ndio inaanza harafu wakifa watu ndio wanakuja kukubaliana kama Russia tutegemee kuachia ile vita maana mpaka amefikia kutaka kujilipua kwenye nyuklia hayupo sawa.
 
Back
Top Bottom